Natafuta shule za English Medium Tabora

malogi1976

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
297
168
Habari zenu...naomba msaada kuna mtu anajuwa kama kuna shule tabora mjini za kiingereza mtoto yupo darasa la kwanza.napendelea ya kiingereza sababu alizaliwa nje halafu na tz watoto wanaendelezwa vizuri na hiyo lugha.ahsanteni
 
kuna shule moja ya mhindi ipo kipalapala jina nmelisahau, ukipita tabora boys' kwa chini kabisa. kwa tabora naona ipo vizuri kwani nami kuna mdogo wangu anasoma huko.
 
Mkuu wakati Nasoma Kidato Cha Sita Tabora Boys Kule Kuna Shule moja ya Mchaga inaitwa THEMI HILL Hebu angalia Matokeo yake ni Shule Bora kwa Tabora halafu Cheap Sana ada yake siyo kubwa kwa mtoto wako mimi mwenyewe soon akianza shule huyu mtoto wa Dada ya (Mwanangu) nitampeleka Huko ila inawastani naona wa 60.
 
Thanks allen nikienda ntaicheki ila siku hizi shule muhimu kwa mtoto kuna competition sana
 
Kuna THEMI HILL ipo kariakoo mkabala na barabara inayoenda kariakoo sekondari hadi kwihala. kuna nyingine ipo ipuli inaitwa Saint Francis.
 
Hapana THEMI HILL ipo Ipuli karibu na Mnadani na Inapakana na St. Francis Mliki wa shule ni Mzee mmoja anaitwa Mambo.
 
Allen punguza bange Themi hill ipo kariakoo karibu na machinjio, kila siku madogo walikuwa wanapita na gari yao wewe unakula kande DH.
Themi Hill haipo kariakoo..! IPO ipuli,Westland ndio ipo kariakoo..!!
 
kuna shule moja ya mhindi ipo kipalapala jina nmelisahau, ukipita tabora boys' kwa chini kabisa. kwa tabora naona ipo vizuri kwani nami kuna mdogo wangu anasoma huko.

Westlands, haipo Kipalapala ila ipo njia inayoelekea huko.
 
Mkuu wakati Nasoma Kidato Cha Sita Tabora Boys Kule Kuna Shule moja ya Mchaga inaitwa THEMI HILL Hebu angalia Matokeo yake ni Shule Bora kwa Tabora halafu Cheap Sana ada yake siyo kubwa kwa mtoto wako mimi mwenyewe soon akianza shule huyu mtoto wa Dada ya (Mwanangu) nitampeleka Huko ila inawastani naona wa 60.

Ada poa ila nasikia michango ndo balaa.
 
Back
Top Bottom