Recent content by Kayla kang

  1. Kayla kang

    DOKEZO Kampuni ya EROLINK ni wababaishaji, wanawanyonya vijana waliowaajiri

    Habari, Kwa yeyote anaeifahamu kampuni ya kuchukua tenda na kuingia ubia na baadhi ya makampuni hapa nchini kwa lengo la kuwa recruit na kuwapatia hayo makampuni wafanyakazi yakiwemo Tigo, Vodacom, TANESCO na Dawasa yaani EROLINK wamekuwa wababaishaji kwenye kuwalipa vijana ambao wamekuwa...
  2. Kayla kang

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Muongo!, ukitoa ist gari inayofuata kwa kuuzika haraka ni crown, fanya research kwa car dealers watakwambia, usipotoshe watu mkuu
  3. Kayla kang

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Umo sahihi mkuu, ukiwa na crown Kwanza u feel proud barabarani, unavimba na hata watu hugeuka kukuangalia ni mtu wa aina gn uliyeweza kununua athlete crown, it's a most youth's dream kwa anayejua gari, unapata speed, comfortability, enjoyment na hata moyo husuuzika kujisikia upo kweny crown...
  4. Kayla kang

    Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Ligi itaongezeka timu kutoka 16 hadi 17 means kuna gharama zitaongezeka hapa..nan atawajibika?? Mechi zao mapato yatakua yanaenda wapi?? Kumbuka n game za hisan tu. Timu gan itakayotia full mkoko kwny game na Hilal akat ana game mbele plus safari. Vitu kama red card, yellow card na issue zote...
Back
Top Bottom