Recent content by KAYAFA MKUU

  1. KAYAFA MKUU

    Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Mambo ya Mungu ni magumu sana kuyaelewa. Kwa Mimi ambaye ni Mkatoliki nimemuelewa papa. Kazi yake ni kuwahubiria watu juu ya upendo wa Mungu Kwamba matendo yao wanayoyafanya ni chukizo mbele za Mungu(dhambi) hivyo wanapaswa kuhubiria neno la Mungu Ili wabadilike na neno la Mungu linahubiriwa...
  2. KAYAFA MKUU

    Tanroads! Barabara zenu Dar es Salaam ni mbovu kupindukia. Tuambieni sisi wananchi mna mipango gani na sisi?

    Ni kweli kabisa barabara ya Mpiji Magoe ni mbovu zaidi,kutoka Mbezi stand ya daladala mpaka mwisho wa gari (Kwa kengega) umbali wa kama 11KM gari linatumia lisaa lizima kufika. Kwa ubovu huo magari nayo yameharibika karibu yote,usafiri umekuwa wa tabu hasa asubuhi na jioni. Watu wanapata shida...
  3. KAYAFA MKUU

    Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

    Mambo yamebadilika kidogo,ili kuanza kidato Cha kwanza hata kama ni private school ni lazima akachukue Prem number shule ya msingi alikomalizia,na hizo Prem number zinatolewa na Baraza la Mitihani (NECTA)
  4. KAYAFA MKUU

    Naombeni ushauri wenu

    Hata wao hawajawahi kukuona wewe,wanasikiaga sauti yako Tu,wanatamani sana kukuona ila ndo hivyo tena. Mwenye nyumba kawakomesha,hakuna kuonana.
  5. KAYAFA MKUU

    Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Hakuna namna maana hata tukichutama haitasaidia kitu,acha tuufanye huo umalaya unaousema wewe
  6. KAYAFA MKUU

    Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Vinchi vyetu hivi vidogo vidogo vinafahamika siku zote mpaka Ikulu na mataifa yenye nguvu. Kwa hiyo hakuna cha kuficha,wakati siku zote tupo uchi. Tuendelee tu kukaa uchi tena kwa Sasa tumekaa uchi ili tuingize pesa
  7. KAYAFA MKUU

    Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

    Tukijiajiri wote nani atafanya kazi hizi tunazofanya?
  8. KAYAFA MKUU

    Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

    Bila shaka zimetoa serikali lakini anayeruhusu fedha hizo zitoke ni Raisi anaweza akaamua tu sisitoke Kama ambavyo watangulizi wake walifanya,maana mradi huu ni wa muda mrefu. Kwa hiyo tusimlaumu mtoa mada mbali tuilaumu Katiba yetu. Tuungane kwa pamoja kuhamasisha Katiba mpya.
  9. KAYAFA MKUU

    Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

    Mleta uzi yupo sahihi,Kuna mambo mawili yamefanyika. 1. Deni la HESLB limerekebishwa kwa maana kwamba lililopo kwenye Salary slip kwa Sasa linaendana na Loan statement ya HESLB, shahidi ni mimi mwenyewe. 2. Wenye mikopo yao benki na taasisi nyingine za kifedha, kiwango Cha marejesho kwa mwezi...
  10. KAYAFA MKUU

    Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

    Lema ana kitu ndani yake,asipuuzwe kwenye yale ayasemayo.
  11. KAYAFA MKUU

    Sijawahi kuwadhalilisha Wanawake; isipokuwa wapumbavu hujishtukia

    Duh! Naona malumbano yamekuwa makali Sana. Ingekuwa tupo uso Kwa uso watu wangezichapa Sana Kwa sababu ya mada hii. Tuwe wavumilivu na wenye kiasi,lakini jamii yetu Kwa sasa inahitaji watu wanaosema ukweli japokuwa ukweli unauma. Suala linakuja,je huo ukweli unasemwa kwa lugha ya namna gani...
  12. KAYAFA MKUU

    Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

    Kuhusu kunuka mdomo(kutoa hewa yenye harufu mbaya) kunaweza kusababishwa na vitu vifuatavyo. 1. Uchafu ulioganda kwenye meno(mabaki ya vyakula) 2. Maambukizi kwenye kinywa (meno na fizi) 3. Maambukizi kwenye Koo na pua. 4. Maambukizi ya bakteria wa vidonda vya tumbo na 5. Kutosafisha kinywa na...
Back
Top Bottom