Mkuu kwa kweli hata hili kwa Serikali yetu bado litakuwa gumu kwani hata walimu wenyewe waliosomea fani hiyo wanasoteshwa mitaani na wengine wanahangaika na mibahasha mijini wakitafuta kazi kwenye mabenki na makampuni... watu siku hizi bana ni ma master key na mbaya zaidi wanatafuta ma simple...
Downloads the attachment, and use Search Function To minimize time and increase possibility of knowing what is goiing on easilier ( Ctrl +F) Then enter the name
mmmhh.. mkuu kuwa na kazi kisiwe kigezo cha kutoa komenti bila utafiti, kumbuka kuna njia nyingi za kusearch uwepo wa kitu, na hata hivyo kuna njia zenye upekee katika kukupa sababu na uwezo wa kukomenti, kwa mfano ungeweza kupiga simu kama sehemu ya utafiti ili kujua uhalisia, pili unaweza...
PLUS FINANCE LTD
EXCITING VACANCIES
A: BUSINESS CONSULTANT (1)
- First Degree or above with specialization in Business Administration.
- Able to demonstrate high capability in marketing of company services
- Capability in preparation of business plan and proposals
-...
PLUSFINANCECOMPANYLIMITED
"Business Consultancy and Credit Services"
It is Possible to move from Zero/ Business Idea To Great Success
Quality Of Our services, Timeliness, Affordability, Reliability, Truth and Honest is our Key factors
we prepare a Bankable business plan
We Prepare Project...
PLUS FINANCE COMPANY LIMITED
Business Consultancy and Credit Services
It is Possible to move from Zero/ Business Idea To Great Success
Quality Of Our services, Timeliness, Affordability, Reliability, Truth and Honest is our Key factors
we prepare a Bankable business plan
We Prepare...
mkuu rejea kichwa na huduma "we facilitate masters and undergraduate students preparing research proposal and report writing on their own" .. tunamuwezesha mhusika kuvua samaki yenye mwenyewe na hatumpi samaki.
=================karibu========================
mkuu nashukru kwa kuwa una hoji na kujijibu, na pengine kuhisi umetukosea.. ukweli ni kwamba hakuna huduma inayoanzishwa kimantiki
bila hitaji
- wapo wahitaji ambao hawayajui hayo na hao ndo wahitaji tunaowalenga... hatuna namna ya kumfanya mtu asiye mhitaji kumzuia asisome ila tunapenda pamoja...
Thanks Tutorial of Research.... ni utafiti uliobaini mapungufu katika mafundisho juu ya hili... Kuna watu wanahangaika wapi wapate ujuzi wa kufanya kazi hizi either kutokana na kutokuwa kwenye mkondo rasmi au mengineyo mengi... mkku kila mtu ana upekee wake na sikwamba unalolifikiria ndilo hasa...
ni kweli mkuu, ila kinachofanyika ni kumuwezesha mhusika kufanya kazi hizo kwa ufanisi zaidi... kwani kutokana na utafiti wetu tumegundua kuwa wahusika huwa hawawezeshwi kufanya mambo kikamilifu... mkuu karibu ili ugundue utofauti, si lazima uwe mhtaji directly ila unaweza kujua nini hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.