Recent content by kawahi

  1. K

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Wengi ni ukawa hao, wamekuja kwa ajili ya buku 5
  2. K

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya Jeshi La Polisi Kuhusu Maahandamano Ni Kwa Vyama Vya Upinzani Tu

    Wewe hukuelewa, marufuku ilikuwa kwa mikutano yote hadi baada ya baada ya uchaguzi kama wanavopinga matumizi ya pesa, leo wao wametumia sh ngapi kukudi fuso?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

    Kugawa laptop atakuwa emeongeza kiwango cha elimu? Ni bora angefikiria kuwapeleka short course kwanza walimu wengine hawakujifunxa computer
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polisi asante kufundisha vyama ustaarabu katika siasa

    Kwani unafikiri kuzuia uwanja wa taifa ni kuogopa fedheha
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Uchaguzi CCM Hawana Uhakika Wa Kurudi Ikulu

    Ccm watoe Sera sio matusi ya akina kibajaji kama Yale ya bungeni kampeni chafu hatutaki
  6. K

    JamiiForums Tanzania Upofu wa ukawa hili group la wezi lowasa hajalikana popote

    Ccm wanautawala wa kiimla, jpili tunaenda chamazi au jtatu pale pale jangwani ili mtoa mada aone nyomi alinganishe na magufili, jk aseme tena ni Photoshop
  7. K

    JamiiForums Tanzania NEC yawatoa hofu wananchi, yaonya vyama vya siasa

    Tatizo NEC ni ya ccm itaanza kuomba kibali kwa JK kwanza
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Kwa aliyeshuhudia mafuriko ya lowasa huwezi tilia manane kauli ya jk eti wanaunganisha picha. Sikumuelewa magufuli kuwa anatosha nyuma, mbele na pembeni pia atapiga kampeni had kitandani, uvunguni, shuka kwa shuka alikuwa name maana gani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanyimwa ruhusa kutumia Uwanja wa Taifa Kwenye uzinduzi wa Kampeni

    Duh! hawa ccm sasa wanatisha, bado kutuhamisha tu kwani hata viwanja vya nyumba tunazoishi (ardhi) tunaambiwa ni mali ya serikali
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Jeshi la mtu mmoja dhidi ya wafa maji CCM

    Nyalandu atuambie wale twiga waliopanda ndege KIA watarudi lini? name mwakyembe aseme kweli report ya Richmond iliyoibeba serikali isianguke na mabehewa mabovu aliyonunua TRL
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimefundishwa kukaa kimya kwa mambo ya kipuuzi!

    Ccm hakuna jipya litakalonishawidhi niipe kura yangu, ile list ya makada wa kampeni (ya kumtusi lowasa) ndio expected baraza la mawaziri, kuna jipya gani pale?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimefundishwa kukaa kimya kwa mambo ya kipuuzi!

    Magufuli anasifiwa kwa kukariri na kutoa takwimu za uwongo, nani aliwahi kuhesabu idadi ya samaki/dagaa ziwani?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

    Umesahau polisi waliotumwa kumuua lmran kombe walishatoka kwa msamaha wa rais?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM imebashakiwa na wanachama wangapi!?

    Kwenye Vitabu vyao bado vinasoma idadi hewa ya 8m wanaotoka hawapunguzwi
  15. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Maporomoko ya leo si mchezo, tumetembea kwa mguu toka buguruni hadi NEC na kinondoni. Watu walifunga biashara zao kwa lengo LA kumsindikiza EL, kule kinondoni viwanja vya Biafra havikutosha, wanaopiga propaganda eti EL anasafirisha watu na kuwalipa heal ni uzushi, ule umati huwezi kuulipa
Back
Top Bottom