Recent content by kauya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Kama hakuna mpango wa kufanya malipo tena watuambie tuendeleze maeneo yetu kuliko kuacha yanakuwa magifu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Nyumba zetu zilibomolewa bila fidia. Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Sijajua serikali INA mpango gani, kwasababu toka tathmini ifanyike ikipita miezi sits hawajalipa itabidi tathmini ifanyike upya hiyo ni kisheria, lakini hakuna taarifa yoyote unayotolewa na muda unazidi kwenda, hii project imekaa kigizagiza sana na wakirudia tathmini ni hasara kwa serikali...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

    2029 dsm
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW

    Na maadhimisho ya uhuru yameisha bila hotuba ya rais sijui ataongea lini hilimjambo amiri jeshi mkuumwetu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW

    Unauhakika na kauli yako? Haswa kwa mtu mwenye nafasi nyeti lams hii ikulu useme hili ni jambo la mke binafsi? Uwe unaona aibu kidogo unapojadili jambo zito kama hili.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Majibu tata kutoka kwa Rais Kikwete kuhusu na Sakata la Tegeta Escrow

    Nimekuelewa nasolwa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Majibu tata kutoka kwa Rais Kikwete kuhusu na Sakata la Tegeta Escrow

    Kama hajui kwanini nchi hii ni masikini si ajabu kuwa hajui hata moja kuhusu esckrow account
  9. K

    JamiiForums Tanzania Samahani Mheshimiwa rais, tunataka kuangalia Bunge.

    Mbona hamalizi kutoa shukrani? Alafu unajidai huyajui ya dodoma.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Ameshasema si za uma ila swali vipi kodi nayo si ya uma?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Mwanasheria kufukuzwa kazi, sasa kama zito ni muongo alipewa taarifa za uongo pia,
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Nadhani hata hizi mambo ni mipango kwani prof kapata wakati muda gani kuandaanyote haya.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    CAG na muhongo nani mkweli?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    321 zimeenda wapi kama cag hazitambui?
Back
Top Bottom