Kuna habari zimeanza kuzagaa kuwa CHADEMA wanapaswa kumsafisha Lowassa kupitia chama chao ili aweze kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA kupitia CHADEMA.
My take: CHADEMA tegemeeni chama kuondoka mikononi mwenu mana Lowassa anakuja na timu yake na hela yake hapo ni njia ya kutimiza malengo yake...
ilani ya chama ipi wakati jamaa ana ilan yake kabisaaaa kasema kipaumbele chake elimu sasa kama ilani itasema inataka kilimo kwanza hapo mgogolo utakuwa tayari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.