Recent content by katoto1984

  1. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa mbele kwa mbele.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    Wanavyoongeaga huwa sina mbav!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    Ha ha saa, nimeshindwa kumalizia, Saita for?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja Chanika

    Mm siyo dalali, Ni Jiran na hivyo viwanja, Kuna kiwanja na nyumba, nyumba milion 13. Kiwanja nne million! Kama unataka njoo pm
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja Chanika

    Kama ni muhitaj wa kiwanja maeneo ya chanika Tuwasiliane, Bei kuanzia million 4, Umeme upo na maji c shida!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

    Za kusimamia barabara mbov zisizo na kiwango? Hakuna ---- mwaka huu!
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Na wameshatoka wapo na watoto Ukiuliza hapo ni lawama kwenda mbele Mara oohh mume amezid ulev, Matumiz yote nakupatia na ulinikuta nalewa tatizo nn? Alafu kuna wanawake wengine wanavichekesho sana, Unawah nyumban mapema unakula bila zako chumba, Unakuta yupo bize akija chumba saa tano na...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Kwa ujumla WANAWAKE mnatakiwa mbadilike kujidai mnaweza Kulea watoto bila baba zao ni kutengeneza wengine kama nyie, Alafu kuna haka katabia cku hiz mnakutana na mwanaume hata Hujamjua vizur kuwa labda ana mke au ana ndoa unakimbilia kuvua chup Kisa kakutoa aut cku mbili kutokana una ukame wako...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Unajua haya mambo mengine huwa yanakera sana, Ila uvumiliv unahitajika sana kwa maana, Mwanaume kama umeamua kuzaa naye na haikuwa, Bahati mbaya mnaweza mkaa mkayamaliza tu, Sababu mm naona mtoto anapo kuwa na single mam, Kinachomuharibu atakapo kutaka kujua kuhusu baba, Lazima...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Siyo singel mama kweli huyooo?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Pole sana ila kwa uhitaj wako Mungu atajibu, Achana na mawazo kama ya Flora? Huku badaye mtoto ndiye mlengwa.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Ana hasira au anajifanyisha?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Nilichogundu kwa Frola msoffe# c mkweli, Na inaelekea ana mpango wa kuwa singel mama, Ila hapa anapima upepo tu? Umezaa naye huyo ndiye mumeo, Hakuna mbadala hata aweje? Kama mbaya ungetoa mimba uone, Matatizo yake kama flan wa diamond!!!
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Ha ha haaaaaa hilo la kwako?
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Acha uongo ww? Usiusemehe moyo wa mwezako, Ww upo tayar kuwa na mtoto bila mume Au ndiyo wale wale wa nyumba za urith?
Back
Top Bottom