Recent content by KATOLILA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Anatupeleka tunapotaka kupelekwa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Hv kura ni leo au kesho?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom yaongoza kwa kutoza gharama kubwa za intaneti kwa wateja

    Gharama hizo ni endepo hujajiunga na kifurushi,ila wajue kwamba hata ukijiunga na kifurushi cha GB 10 unashangaa unaambiwa kifurushi chako kimeisha,utaona msg MB za kifurushi chako ziko chini ya 15MB mara paap zimeisha hata kama hujawasha data,swali najiuliza huwa wanazikusanyiwa wapi hz MB zetu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

    Kuna kila dalili uchaguzi wa 2020 yakatokea yatakayotokea na CCM ikashinda kwa 98%.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kanuni kuwabana wamiliki wa nyumba za kupanga wanaotaka kodi ya miezi 6 hadi 12 kupelekwa Bungeni

    Kwasasa maisha yamebadilika,siyo kama zamani mtu analipa kodi hata ya Miaka miwili. Wenye nyumba wanapokea hata nusu kodi tarehe 15 unampa nusu unamalizia mwisho wa mwezi na halalamiki wala nini. Sheria iwepo labda baada ya Miaka Kumi na Tano mzunguko wa hela utaporudi mfukoni baada ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mtalii afariki baada ya Parachuti kugoma kufunguka akiruka Mlima Kilimanjaro

    Atatoka vp mkuu wakati unaona anaruka free style akikaribia chini analifyatua ili asijimize chini kwa hiyo speed. Itakuwa alishuka moja moja hadi chini.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

    Hakuna cha ajabu hapo kwani nguvu aliyokuwa nayo Lowassa 2015 na hakukabidhiwa nchi sitoshangaa wakafanya hvyo kwani wenye kuamua nani apewe nchi ni vyombo vya usalama tukianza na mkuu wa majeshi wakisaidiana kwa ukaribu na tume ya uchaguzi. Ndg kukabidhi madaraka ni mchakato mkubwa sana...
  8. K

    JamiiForums Tanzania USD Bilioni 52.8 ( TZS 121 Trilioni ) zilizozuiwa na Magufuli kuingia kwenye Uchumi wa Tanzania tangu mwaka 2015

    Mbona baadhi ya miradi umeanisha kiasi cha fedha zitakazoingizia taifa kwa mwaka na mingine hujaanisha au ndio ile tuliambiwa ni baada ya Miaka 99.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

    Maxence una akili saana..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla: Pierre Liquid ni mtu huru kwenye nchi yake. Tunapaswa kuulinda uhuru wake kama Katiba inavyoelekeza

    Kigwangala ohhhh nafasi yako hiyo ya uwaziri.....NP😅
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni trela ya kampeni za CCM 2020. Wapinzani mkae mkao wa kupigwa.

    1.Dr Husein Mwinyi 2.Samia Suluhu
Back
Top Bottom