Recent content by katoii

  1. katoii

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira mtandaoni...(portal ajira)

    Hata mimi inagoma. Nina degree ya Accountancy and Finance but nikiomba kazi za uhasibu zote zinakataa
  2. katoii

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    Duuuh issue ya kufukua makaburi hiii tokea 2008 kweli walikuwa wapi? But issue ya kuisababishia hasara chombo hicho sio kama amechukua hizo pesa hapana bali actions zake za kiutendaji zimepeleka kuikosesha TBC pesa hizo. Ukute hii ni ile vita inaendelea sasa hakipigwi chombo anapigwa mtu [emoji849]
Back
Top Bottom