Recent content by Katlego Sibeko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Boyfriend ana majibu ya dharau

    Amejuaje kunuka kwangu wakati hata hiyo papuchi hajawahi kuiona wala kuigusa?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Boyfriend ana majibu ya dharau

    Habari wana JF, Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje anitembelee kwangu kwa sababu tusingeweza kukutana bar maana hakuwa na pesa. Nikamkaribisha akaja...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amerudi nyumbani, Lakini haniongeleshi, unyumba sipewi

    we hufai kabisa yaani umeona hausigeli ndo umchanganye na mkeo,tena una bahati hata amerudi maana kama mwingine hata kurudi asingerudi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya IT

    Habari wana JF?Samahani anaefahamu sehemu yenye nafasi za kazi position ya IT anisaidie kuna mdogo wangu wa kiume namtafutia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Niliwamiss

    sikuwa online kwa muda kutokana na matatizo kidogo ila nimerudi,nliwamiss sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni dalili za mwanaume asiye na pesa

    Loooool akafie mbele mwanaume wa hivyo mshiuuuuuuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni

    hahahaaaa asanteni sana nashukuru,ila hata mie nina wangu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni

    Wapendwa wana JF mimi ni mgeni humu kwaiyo naomba kukaribishwa jamani. Asanteniiii:wink2::wink2::peace:
Back
Top Bottom