Hilo jambo ni shida kubwa,nimepewa taarifa hata Manispaa ya Mtwara Mikindani CDOs wa kata wanaonewa sana na Mkuu wao wa Idara...Suala la posho ni kizungumkiti na kazi zinafanyika.Yote haya tunayafanyia kazi.huyo mkuu wenu wa idara amekaa muda gani?
Tukiwa kisongo mwaka 2011 pale yalipigwa mabomu na kuna watu walipoteza maisha,mmoja ya watu waliofanya unyama ule kushirikiana na wajinga wenzie alikuwa GJ.Lema.
Ali Zona alipopigwa risasi ya kichwa akiwa anauza magazet pale msamvu chanzo alikuwa Lissu kushinikiza maandamano, na Mwaka 2016...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.