Recent content by Katesh stand

  1. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Wabunge ni kufuru

    Hao waache hata wafe hasa walimu yaani ni mazumbukuku kupitiliza wanaimba nyimbo za "kusifu na kuabudu"kwa watawala,natamani ikibidi wapunguziwe mshahara.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

    Kama wewe unavyomlamba Meko pale Chamwino
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

    Wewe yako ya wapi!?, fan wa Magufuli!?.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yule Tundu Lissu aliyekuwa anaandikwa kila kurasa yuko wapi?

    Endelea Kutafuta uteuzi kwa kumtajataja Lissu labda utafanikiwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

    Hawa ndio waliokua wanashabikia "mitano tena".
  6. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Jambo gani!?, jana walikutuma upandishe uzi humu kumbe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

    Wanaweza kusamehewa ila wasahau huo ubunge
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

    Mkuu mbona unajikanganya!?, mara ujifanye chadema mara mshauri, embu rudia kusoma andiko lako.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

    Yanafanyika lini na wapi!?.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ina uwezo wa kuwalinda Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliofukuzwa Uanachama?

    Nyie lumumba buku7 fc mbona mnaweweseka sana juu ya Mbowe!?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Nashukuru mkuu, tayari chama kilitangaza hakitambui matokeo ya uchaguzi, hivyo suala la ubunge halipo automatically kwa muktadha huo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    shida huyu full makosa mara "msamaa "badala ya msamaha, "hujalewa "badala ya hujaelewa, sijui hawa Lumumba buku7 fc shule haikuwasaidia!?.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Ubunge gani wakati msimamo wa chama ni kutoyatambua matokeo!?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Ndo jambo nililoshauri mkuu.
Back
Top Bottom