Hafai. Anapenda kujipendekeza . Sijawahi hata siku moja kumsikia akizungumzia haki za binadamu. Yeye walioko kinyume naye wakiumia ni sawa tu kwake. Tunataka spika atakaye jali watu wote sawa bila kuangalia chama,dini na kabila. Mpenda haki kwa watu wote .
Siku ya kwanza Adamoo alisema alipigwa na Mahita ,pia alipata vitisho kutoka kwa Kingai. Siku ya pili anahojiwa na Wakili was serikali akasema hakupigwa. Hii inaonyesha aliporudi magereza alipapata vitisho au alirubuniwa ili akubali. Hii inadhirisha hii kesi ni ya hila.
Ili kuthibitisha swala la muda watuhumiwa walipo ingia na kutoka polisi Central Dar es Salaam kwenye hii kesi ya uhaini ya Mbowe mahakama iangalie tarehe na muda kwenye picha za CCTV.
Ninaami pale Polisi Central walipoingizwa watuhumiwa kuna CCTV camera. Mimi naona mabishano makubwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.