Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

I swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.

Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
Let your dream comes true.
 
ccm ilipoteza ushawishi kipndi cha jk lkn hii awamu ya JPM imerudisha nguvu ya CCM sababu vitu ambavyo upinzani ulitumia kama fimbo vimetatuliwa tayari

now day wanalia na uhuru tu swali wanataka uhuru gan ?
Usione watu wanaweka bendera za CCM kwenye ofisi ama vyombo vya usafiri ukadhani ndio kukubalika kwa chama, ile ni namnaya kuflo na biti.

KM Bashiri kashaanza kusoma mchezo....hutoamini kitakachotokea.
 
Nimesema hv mwaka nitakuwa mstari wa mbele baranarani Tena hasubui kweupe Kama wakituibia kura wajinga hawa.
Mhamiaji haramu tumekusikia na hiyo HASUBUI uliyoandika hapo watanzania tuna ASUBUHI hatuna Hilo neno la wahamiaji haramu la HASUBUI

Mhamiaji haramu umetusikia?
 
I swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.

Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
Tupe uzoefu wa ndoto zako,je Ni kweli ukiota Jambo huja kutokea Kama ulivyoota?
 
Tunamuombea kwa Mungu muweza yote azidi kumpa nguvu ya kuweza kufanya kampeni na ushindi dhidi ya ccm upo hapo 28 October.
 
Hebu kuwa muwazi wapinzani mnataka nini
Ilitegemewa upinzani kuwa wanyonge sana uchaguzi huu tofauti na 2015 sababu kama ulivyosema raisi kafanya Yale yaliyokuwa yanapigiwa kelele. Nn kimetokea ikawa tofauti? Uchaguzi umekuwa si wa upande mmoja tena kama ilivyotegemewa.
 
Tupe uzoefu wa ndoto zako,je Ni kweli ukiota Jambo huja kutokea Kama ulivyoota?
Kwa zaidi ya 90%....naweza kuota ndoto ikatimia siku inayofuata, au baada ya majuma kadhaa, au baada ya miaka mitano.
Hii imenipa kipawa cha kutafsiri ndoto pamoja na umakini juu ya ndoto niotazo.

Tena ndoto hunifumbulia mambo yasiyo wazi kwa wakati husika na baadae mambo hayo hudhihirika kama nilivyoota.

Kuna wakati zinakuwa njozi za kawaida na nyakati nyingine zinakuwa ndoto zenye intensity kali kama hii niliyoona juzi ambapo instincts zinachochoea kuamini kile nilichokiota.

Huwa naota mara chache chache lakini ndoto zenye ujumbe juu ya tukio linalofuata iwe kisiasa, kijamii, michezo ama nyanja yoyote inayonihusu.
 
zitangaza
Kwa mtu mwenye maono utagundua huu mwaka wa 2020 una utofauti wake, kidunia, kitaifa hata mtu binafsi ukijichunguza utagundua huu mwaka unautofauti wake.

Tuweke akiba ya maneno maana mambo mengine tumefumbiwa.
 
Ilitegemewa upinzani kuwa wanyonge sana uchaguzi huu tofauti na 2015 sababu kama ulivyosema raisi kafanya Yale yaliyokuwa yanapigiwa kelele. Nn kimetokea ikawa tofauti? Uchaguzi umekuwa si wa upande mmoja tena kama ilivyotegemewa.
Kutokana na kutokuwa na uchumi unaomgusa mtu mmojammoja 'welfare economy'. Umenikumbusha watu wasiojulikana na mengine mengi ya hovyo ya awamu hii ya 5
 
Back
Top Bottom