Recent content by katebhalila

  1. K

    JamiiForums Tanzania hotuba ya rais wa nchi kuhusu michezo.

    Nilitegemea rais Kikwete angeweza kujifunza mengi baada ya ujio wa Rais Obama. Rais Obama anavutia kwa sababu yuko kwa ajili ya wamarekani. Anapoilizwa hujibu kwa staha bila mzaha, na akizingatia kwamba anafanya hivyo kwa niaba ya maslahi ya wote na si chama wala yeye binafsi. Sasa rais wetu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba awataka wananchi wawalaumu wabunge wao kuhusu kodi ya 1,000 kwa kila laini

    makamba maana yake manyoa ya ndege. Huyu mtu ni bonge la ----.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wamachinga ni kwanini Wanachoma MOTO pia OFISI za CCM??

    Mambo ya analogia; shoka za kizamani ndio lazima ziwe mpini wa mti, siku hizi hata mitaimbo inatumika.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Du, Kiinglish cha Viongozi wetu: Inatia aibu!

    aibu sana, tena inatia kichefuchefu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ujio wa viongozi wa mataifa Makubwa tz ni matokeo ya safari za nje za Jakaya Kikwete

    maslahi rahisi ya kupora.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kupokelewa na Balozi wa Marekani katika ardhi ya Tanzania ni sawa??!!

    Hao wana rb za ze-hague. Hata presentation zao zina negative 'connotation'
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kupokelewa na Balozi wa Marekani katika ardhi ya Tanzania ni sawa??!!

    Ni miongoni mwa walio na harufu za ugaidi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watakaochezea amani ya taifa kuchukuliwa hatua - Pinda asisitiza

    pinda lazima aende the Hague, kwa hizi kauli zake zisizo kubaliana na katiba ya tanzania. Yeye ang'ang'anie kauli zake kama punda anavyo ng'ang'ania barabarani kwa kuamini ugumu wa mifupa aliyo nayo. Ila hatuna waziri mkuu mwenye hekima.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda alia na Waandishi wa habari!!

    huyu makinda ni mpu... Je huwa hakai na kuangalia matukio ya vikao vya bunge? Huyu ni zaidi ya majanga. Vikao aendeshe yeye kwa upendeleo, lawama wapewe waandishi wa habari? Majanga.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge 'Sugu' afikishwa Mahakamani na Kushinda Kesi ya Kumuita Waziri Mkuu 'Mpumbavu'

    mpumbavu ni mtu anayeongea pumba, mtu mwenye mbavu, Yaani kiongozi mwenye mamlaka anayetoa kauli zisizo na maana, zilizo na maslahi binafsi, zisizotii sheria, zenye kutisha wengine.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea

    mheshimiwa Lwakatare, respect. Endeleza mapambano imani yetu haijafungwa. Tunasonga pamoja.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

    easy, kama hiyo number haipo Arusha basi ni uthibitisho kwamba polisi iliyopanga hilo tukio walitumia number hiyo bandia ili kuvuruga tracing ya gali lililomleta na kisha kumsindikiza mrusha bomu. Na alivaa helmet ya polisi kichwani kwa vile asingekuwa na muda wa kusubiri wakati bomu likilipuka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mdee aishukia serikali!

    ukitaka kuona ukomavu na busara, angalia urafiki kati ya Halima Mdee na Esther Bulaya. Hawa wako vyama pinzani lakini kila mmoja anaweka mbele maslahi ya watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vyao. Bila shaka hii inawapa upeo katika kutoa michango katika kuisaidia serikari yetu. Hivyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi!

    napenda kuwapongeza, mnambowa, maundumula, kali kenye na sugi kwa kuweza kudandia gali kwa mbele. Mnatumia sana makamasi yetu kama inavyowapasa. Hamy D, heshima kwako mkuu unauona ukweli sasa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa JK na Kagame kuiathiri vibaya Tanzania kiuchumi. Rwanda, Uganda kutumia bandari ya Mombasa

    bandari yetu nao wamezidi kwa urasimu na wizi.
Back
Top Bottom