Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechagua mfumo wa demokrasia ya vyama vingi. Hii ina maana kwamba uwepo wa vyama tofauti vya siasa si tatizo bali ni sehemu ya msingi wa utawala wetu wa kikatiba. Kila chama kina haki ya kuwepo, kushindana, kujieleza, kutangaza sera zake na kuomba...
Kinachonitia wasiwasi si tuhuma zenyewe, bali namna tunavyozijibu. Mara nyingi tunapokuwa na mapenzi makubwa kwa kiongozi au chama, tunakuwa wepesi kuamini kwamba kila tuhuma ni uzushi na kila anayezitoa ana nia mbaya. Huo ni mtazamo wa kibinadamu, lakini unaweza kuwa na madhara makubwa.
Tuhuma...
Ndugu yangu, kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake kuhusu uwekezaji, iwe ni hisa, UTT, bondi au biashara binafsi. Lakini hoja huwa zinajengwa kwa ushahidi, si kwa matusi.
Kuwaita watu "majinga", "manyumbu" au "wavivu" hakufanyi hoja yako iwe sahihi. Kinyume chake, kunadhoofisha hoja yenyewe...
Wote hao ni wahalifu aliye ua au kuiba au chochote kile ambacho ni kinyume na mapenzi ya Mungu au Sheria za nchi anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria na kwamujibu wq Katiba yetu mwenye mamlaka ya kutoa Hukumu ni Mahakama.
Leo kumekuwa na tuhuma na malalamiko yanayomhusu Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA kuhusu madai ya ubadhirifu wa fedha. Kwa sasa, madai hayo yanaweza kuwa ya kweli au ya uongo; jambo hilo linapaswa kubainishwa na uchunguzi wa haki na huru.
Hata hivyo, tukio hili linatufundisha jambo muhimu...
KALAMU YA UZALENDO
Demokrasia Isigeuzwe Kuwa Biashara ya Chuki
"Taifa halifi kwa sababu ya tofauti za mawazo; taifa hufa pale tofauti hizo zinapogeuzwa kuwa chuki."
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mwenendo unaotia wasiwasi ambapo baadhi ya watu wanaonekana kuamini kwamba ili kupata...
NAHESHIMU MAONI YA ASKOFU BAGONZA, LAKINI NAFIKIRI TUNAPASWA KUTENGANISHA KATI YA UANAHARAKATI WA KUJENGA TAIFA NA UANAHARAKATI WA KUCHOCHEA HASIRA.
NI KWELI MWALIMU NYERERE NA SHEIKH KARUME WALIKUWA WANAHARAKATI. HATA HIVYO, WALIKUWA WANAHARAKATI WALIOJENGA TAIFA, WAKAHUBIRI UMOJA, UZALENDO...
Siasa za migogoro duniani kote—kile wataalamu wanachokiita "Uchumi wa Migogoro" (The Political Economy of Crisis).
Umegundua kuwa mara nyingi, nyuma ya kelele za "kutetea wananchi" au "kulinda usalama wa taifa," kuna mtandao wa maslahi ya kifedha na kisiasa ambayo yananufaika sana pacha hizi...
Siasa za migogoro duniani kote—kile wataalamu wanachokiita "Uchumi wa Migogoro" (The Political Economy of Crisis).
Umegundua kuwa mara nyingi, nyuma ya kelele za "kutetea wananchi" au "kulinda usalama wa taifa," kuna mtandao wa maslahi ya kifedha na kisiasa ambayo yananufaika sana pacha hizi...
TATIZO SIYO MUUNGANO WALA CCM TATIZO NI MTIZAMO UNAOTUONGOZA MFANO NCHI YA CHINA WALIPO AMUA KUFUATA MITIZAMO YAO IMEKUWA NA MAFANIKIO
Kuna wakati mwingine unaweza kuhitaji kuwa kama wa China!
Wachina Ni mfano mzuri isipokuwa wanapokuja Afrika!
Kwa nini hakuna uchaguzi wa rais nchini China...
Ni hali ya kawaida kutokea kama utatumia kettle ili kuwaondoa watawala.
Njia kama hizo zilianza miaka ya 80 ambapo katika shule za Sekondari na Vyuo vikuu kulikuwa na movement za migomo na maandamano na katika harakati hizi zilikwenda sambamba na uaharibifu wa mali na hoja nyingi zilikuwa hata...
Mambo haya yalianza Polepole ila haikuwa raisi kuyaona. Kwasasa tunaona kama CCM na Serikali yake inafanya makosa mengi sana lakini ni hakika chama chochote kingepewa hayo mamlaka pia kungekuwa na tatizo la aina yake.
Tukumbuke na kutambua kwamba CCM ina wafuasi wanaokipenda na kukikubali pia...
Utafiti unaonesha raia wengi wa kigeni wanatumia mbinu ya kuoa au kuolewa na Raia wa Tanzania kwa lengo la kujipatia uhalali wa kumiliki ardhi.
Watu wengi wemepata tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.