Recent content by kassimamari

  1. kassimamari

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    NIMEFUATILIA KWA KINA KINACHOJADILIWA KATIKA MJADALA HUU NA NIMEBAINI MOHAMED SAIDI YUKO SAHIHI KWASABABU YEYE ANACHOELEZA NI HISTORIA YA WAISLAM KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA NA MCHANGO WAO NA SI HIVYO TU MARA BAADA YA UHURU WAISLAM HAWAKUWA NI WENYE KUTHAMINIWA NA WALIDHARAULIWA NA...
  2. kassimamari

    Sintaksia finyizi

    Kuna kasumba kubwa tu iliyojikita juu ya dhana ya kukitumia kiswahili kwa mawanda katika fani ya elimu na masuala mtambuka ya nchi juu ya utawala.Kasumba hizo zinakwaza kwa kiasi kikubwa hali ya kiswahili kuzidi kushika kasi ya kukua na kuenea duniani.Kila nchi iliyorazini inatoa kipaumbele...
  3. kassimamari

    Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    Ijapokuwa tunahitajio kubwa sana la mabadiliko ya kikatiba ila ni sawa kabisa afanyavyo Mohamed Saidi kutukumbusha nchi hii wapi ilipotoka na kujua kuwa katika historia pia kuna mambo ya kuchukua tahadhari.Tatizo kubwa la Tanzania si katika mpya bali MFUMO KRISTO UNAONGOZA SERIKALI.Ukisoma...
Back
Top Bottom