Recent content by KASSAMBILI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    Badala ufurahie kfukuzwa kwa zzk kama kunajenga ccm!! yu masti bi drankad mai frend no enemi!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    HBARI NDO HIYo!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    Kama umewah ikuguza mgonjwa mahtuti kwa muda mrefu siku anyokaribia kufa utashangaa kuoa nafuu kubwa atakayopata!! hizi nd siku za mwisho kabisa za uhai wa kisiasa za ndugu zzk!! R.I.P My MP!! a
  4. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa viongozi wa CHASO kutoa matamko kwenye sakata la Zitto na Mbowe

    ww hamnazo kweli!!!! wamwachie nani chama??? zzk na wengine ndo waondoke, chama chenye watu zaid ya million wamwachie msaliti msaliti mmoja mhuni? u cant be serious!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa viongozi wa CHASO kutoa matamko kwenye sakata la Zitto na Mbowe

    Kaka umeongea, big up!!! Hv ccm mmesahau 2010 Shibuda alivosema atapeleka jina kuwania urais pamoja na jk yaliyomkuta???? alitumwa sheikh atabiri kuwa atakufa ghafla, alipokomaa akanyimwa ubunge, maana kama angeshindwa kweli kura za maoni mbona alipita akiwa chadema tena bila kampeni? zzk...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Ngwechele wa Mwanza imezidi kufichua ukweli wa sakata la Zitto Vs Kamati kuu CHADEMA

    Unapayuka!!!!!!!! Hiv mnafikiri ss watoto hatujui lolote? wakati zzk bado ni jembe nani alimwandika kwenye Mzalendo au Uhuru? kama mnaona kaonewa mchukueni mvalisheni magamba yenu!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Mnyika kwa kuingia kwenye ngoma ya kihafidhina

    Mwache Mnyike awaadabishe wasaliti, hv wewe unamuona zitto kabwe wa maana sana!! aliyebaka demokrasia ni zzk, yy kama aliutaka wenyekiti angesubiri muda ufike achukue form na si kutoa waraka wa kipuuzi, kwanza hana tofauti na ccm ambao kila mtu anapiga mbio za kuwania urais miaka 5 kabla ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kamati za Dini ya kiislam wamlipua Lowassa, Wasema hatoshi kuwa Rais

    What? HV MAKAMBA Januari naye? nchi imekuwa ya mchezomchezo tu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

    Kaa kimya wewe uchaguzi unadaiwa? we wa wapi???
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Nimekudharau sana!!! Maana wewe peke yako ndo uliwaona mawakala feki na ukagoma kwenda mahakamni kutoa ushahidi!!! ni ajabu sana!!! anyway mlishajua kuwa kuwa ukitaka kushinda unaweka mawakala feki, wekeni na nyie 2015 muone moto wa Mnyika!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Kaka hiyo ni aibu yake ( waziri) kwani Magufuli alipowaambia wenye malori wapaki jikoni si ilimgeukia aibu tupu? Anyway hao wanaowashabikia ccm naona gharama mpya haitawahusu, maana tukiwaambia maisha magumu ya watanzania yanasababishwa na ccm hawaamin kabisa!! Kwa kuwa Mungu yu hai ukombozi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Mnyika ashau nini??? Ubungo ni Mnyika na Mnyika ni Ubungo!!! Kama mlifunga vyuo kumzuia 2010 mkashindwa safari hii mtamzuiaje??? Mtaishia kujipa moyo tu. Peopleeees!!!!
Back
Top Bottom