Recent content by Kasongo yeeyee

  1. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania HOJA Askari Polisi Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

    Hata hizo kidogo mnatakiwa kudhulumiwa.
  2. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Tafiti; 90% ya waJF wana maisha mazuri sio njaa kali.

    Katibu aje aandike mihtasari
  3. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Tafiti; 90% ya waJF wana maisha mazuri sio njaa kali.

    Mwenyekiti wenu nipo hapa
  4. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi, ni kweli vyama vyote vya siasa vimepewa nafasi sawa?

    Watu mna mioyo kweli! Mnajadili kauli ya kabudi!? In case umesahau, huyo aliwahi kumuita jiwe 'mheshimiwa mungu'!
  5. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kiswahili mtusaidie tuondoe ubishi ni Akili mnemba au akili mnembe

    Kwa akili za watanzania, ubishani huo utakuwa umechukua wiki nzima kwenye kijiwe!
  6. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Hata utoe wmawazo ya maana kiasi gani ccm hawawezi kukusikiliza, wao ni vyura viziwi.
  7. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania KATAVI: MTOTO WA DARASA LA 4 AJINYONGA KISA MCHANGO WA SHULE WA TSH 10,000

    Hilo wala si kosa la walimu, mnawaonea tu. Hayo huwa ni maagizo kutoka wilayani, hata waalimu wanawish yasingekuwepo.
  8. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuwa mchafu namna hii na kunywesha wenzio uchafu?

    Na ulivyo mbinafsi hukwenda hata kuwasanua wadau!
  9. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Je, ni salama kuanzisha mapenzi na rafiki yako wa karibu (Best Friend)? Shuhuda na Changamoto zake

    Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume. Wanawake tulizeni vikojoleo hivyo. Mimi kila aliyejileta na kunizoea ovyo nilipita naye na huo anaouita urafiki sijui best ulifia hapo. Wanawake wenzio wapo kibao unaenda kuzoeana na wanaume. Ndo mnatujazia mapunga mitaani
  10. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Wanawake wa hivyo papuchi zao huwa zinanena kwa lugha.
  11. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Hasa gen z ndio wamekuja kasi sana na hiyo tabia. Yaani kwao umri mkubwa ni kama aina mpya ya ulemavu. Nilienda kuanza chuo nikiwa na miaka 26 huku zaidi ya 80% ya classmates wakiwa ni gen z waliokuwa kati ya 22-25yrs. Mbaya zaidi sura ngumu, na sikuwa na hela. Aisee hakuna rangi niliacha...
  12. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Na wala hupungukiwi chochote. Watu wanaamua tu kuyacomplicate maisha na kuyaongezea ugumu
  13. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Bado ni yaleyale majibu mepesi niliyoyasema hapo. Unafikiri nisingekuja duniani ni hasara gani hata moja tu ningeipata?
  14. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Hatua gani?
  15. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Una uhakika gani kuwa hakuna tendo lolote la kuudhi au kudhalilisha lililofanyika muda ule?
Back
Top Bottom