Juu ya huyu mama mkwe wetu haiitaji hata darubini kugundua uwezo wake katika hili.Spika ni mtu anayetakiwa awe na busara,hekima,ufahamu mkubwa wa sheria na katiba ya nchi zaidi ya yote awe na uwezo wa kutoa maamuzi kwa haraka na kwa uhakika bila ya upendeleo.So inabidi tumpime katika haya huyu...