Binafsi nianze kumpongeza DKT Mwigulu Nchemba kwa kazi yake kama mwanasiasa na gwiji wa mbinu za ushindi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Kwanini mwigulu Nchemba na VIjana wengine ndani ya CCM ni mmoja wa mtu wa mbinu hatari za ushindi tangu akiwa shule .kwa mwenye kumbukumbu nzuri huyu...
Hali ya hewa mbaya kwa chama cha mapinduzi kata ya kigamboni hasa katika mtaa wa ferry hii ni baada ya kutokea mpasuko mkubwa baiana ya wagombea walioshindwa kwa kura ya maoni ndani CCM. upande wa pili wa walioshinda unaongozwa na kuratibiwa na diwani wa kata ya kigamboni cha kushangaza nguvu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kigamboni inatarajia kufanya mkutano mkubwa wa wazi siku ya Jumapili tarehe 24.03.2013 katika viwanja vya Swala.Wanachama,wadau,wafuasi na wapenda mabadiliko katika taifa hili mnakaribishwa na walio mbali basi siku hiyo nitakuwa natoa updates...
Nimeamua kuvunja ukimya baada ya kuona mufa maji anaendelea kutapatapa naye ni MTELA MWAMPAMPA anaudanganya umma wa watanzania kwa kumuchafua Dr. Slaa .ninamufahamu vizuri huyu kijana aliyekosa mvuto kwao MBOZI kwani tumesoma naye akiwa META sekondary alikuwa hana jipya uongo, dhuluma...
siku kadhaa baada ya kumalizika mkutano mkuu wa chaso-IFM kumeongezeka wimbi la wanachama wapya kujiunga na CHADEMA kupitia tawi la chaso IFM .wanachama hao wameonekana kuwa na hasira na serikali mbovu ya ccm kwa imeshindwa kutekeleza ilani yao ya maisha bora kwa kila mtanzania. wanachaso hao...
Nikiwa mzaliwa wa MBOZI na mzalendo miaka kadha imepita bila kuwa na mbunge makini nikianzia enzi za marehemu HALINGA hadi leo tuna mbunge aliyekosa weledi katika masuala ya kiuchumi kazi kuunga mkono hoja za chama(ccm) tuu.Niwasihii waMBOZI hususani jimbo la mbozi mashariki tuungane pamoja na...
Baada ya kumalizika mkutano mkuu (msimbazi center) uliowakutanisha wanachama wa CHADEMA wanafunzi wa vyuo vikuu Dar. wanaCHASO wamejipanga kukabiliana na kukimaliza pamoja kukizika chama chama cha magamba huku wakijidai kuwa ccm ni magamba ambayo hayakubaliki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.