Recent content by Kashishi yetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukumbi Wa Harusi Bethany Mikocheni-Kwa Warioba siri zavuja!

    VIPI KAMA ASKOFU NDIYE MHUSIKA MKUU KAWEKA MENEJA AMBAYE NI CHAWA WAKE ANAKULA KUPITIA KWA HUYO MENEJA? BADO UNAMSHAURI ASKOFU AMTOE? ILI ASKOFU AKALE WAPI? UNAFIKILI ASKOFU JILI HALIJU? WEWE LIMEKUFIKIAJE HALAFU YEYE LISIMFIKIE? KILA MTU ALE OFISINI KWAKE PAEE Vipi kama ni mradi wa ASKOFU...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Huyu jamaa ukaaji wake Haina heshima. Lakini mavazi yake ya jinzi ni vazi la kihuni ndiyo maana mtumishi wa imma huruhusiwi kuvaa na kwenda nayo kazini . Soksi pia hajavaa. Picha hizi hazikupaswa kutolewa hadharani. Kitengo Cha habari mmetukwaza watanzania .
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Majeshi ya Israel kuanza kupiga Jaramba kwenye viunga vya Gaza Magaidi wa Hamas wapata kiwewe!!!

    Kwani IDF si tayari iliingia Gaza na ilo Gaza? Sasa haya maandalizi ya Nini ilihali tayari ipo ndani ya Gaza?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

    litaka azaliahwe yeye pamoja na dada yake
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

    Kamanda mulilo hajaliona hili tukio? Waandishi wa habari vipi kutokumhoji kamanda kuhusu hili???
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

    Sasa watoto wanashida gani?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

    Kuna watanzania wapumbavu wataanza kuwaita watoto wao majina ya engonga wanapowazaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

    Polis mlimpa silaha Kwa kigezo kipi? Ana Mali kiasi gani Hadi amiliki silaha? Anatishio lipi la kiusalama Hadi amiliki silaha? Lini amemilikishwa hiyo silaha? Taratibu zote za kuomba silaha alizifuata? Kwenye uchunguzi wenu ,Taarifa ya kwanza tunayoitaka kuisikia uhalali was umiliki was...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    We ni mpumbavu haswaa. watumishi wa serikali wakistaafu wasirudi kujifanya washauri Kwa vongozi waliopo serikalini , Sasa hapo umesikia kataja uislamu ? Nakuuliza wewe umesikia dini yoyote ikitajwa hapo? Kweli we punguani!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    Ulikuwa wapi kuyasema akiwa hai? Kwanini marehemu hakuyasema akiwa hai? Acheni siasa.kwenye misiba. Kifo ni kifo tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Msiba wa Spika Mstaafu Kongwa: Haijulikani ana wake na watoto wangapi?

    Hapo Stella mmary ni mke wa kwanza Dr Fatuma huenda akawa mke mdogo
  12. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Mpiga kura wake.
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Namimi nakuuliza swali Hilo . Nimerudia kunisikiliza sijasikia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza swali 'Hivi Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu ya hili'?

    Pascal Mayala wa enzi ya Kiti moto ulinikosha sana enzi zile maswali magumu yenye lojiki. Hebu TAFAKARI urudi enzi zako tuanzishe kitu moto. Uungane na chief Odemba na yule Kijana mwingine nimemsahau jina.
Back
Top Bottom