Tunapitia mengi sana kwenye familia na hata maisha pia kama wanaume. Ninajifunza hakuna lisilokosa mwisho. Hakuna kukata tamaa, kujiamini na kumtegemea Mwenyezi Mungu ndio ngao kuu.
Ndugu afisa,
Nakushukuru sana. Mwenyezi Mungu akubariki uwatumikie watanzania kwa uaminifu wa kimalaika na azidi kukunyanyua kwa kila la kheri unalolihitajia na likawe na baraka kwako.
Amin
Kuwapooza sio lazima mkuu. Na kutokuwapooza isiwe sababu ya kukunyima haki yako ya msingi. Ukitoa unatoa kwa moyo na bila kuombwa apo tutasema umepoozwa unakuta mtu anakwambia laiv kabisa nahitaji 123 afu niite apo nimewapooza?
Yaan wakiendelea hivi ndicho nitakachokifanya. Siez lipia ela nyingi hivo af nije nimpe mtu ela bure. Nitawakamatisha za moto ziwatokee kwenye matundu yote ya mwili. Huruma huzaa zambi
TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua...
Yaan huyo anaongea ushuzi. Anajua hata kulima huyu mtu. Anajua taabu ya kulima huyu. Mkulima ana majanga makubwa yanayogawanyika seem tatu. Haki ya hewa, uzalishaji na masoko. Apo kwenye masoko kuna changamoto sana kuliko seem ingine yaan. Asa wewe jipendekeze kama unajua hata tope la mbuga likoje
Umenikumbusha yaan. China wana coops nzuri sana mpaka za maziwa. Kimsingi isiangalie wacheche watakaonunua unga bei juu. Maisha ya mkulima wa chini yajaliwe kwa kumuwezesha kupata competitive price popote pale
Kwa hio na mimi nipatepo asara ya mahindi angu ama. Mi nitawauzia wakenya kwa bei naetaka. Asa mkianza mambo ya papatu papatu achen yakae ndani. Hayaozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.