hahaha watz bwana, kenya ilipigania Uhuru wake na kuunyakua wabongolala walipewa Uhuru kama ofa sasa nashangaa mkijisifu mlisaidia Africa's stragle. we upewe ofa alafu upiganie mwenzako inawezekana kweli??
kenya uwa hatuna iana uwa tuna appreciate wats gud hila u have to know tuna mziki wetu na tunaupenda zaidi ya wenu. thanx God hata wakwetu mnaukubali kama kina
kaligraph
nyashisk
otile
avril
etc
mziki wenu unapoteza popularity kwetu tumechoka na mateja, Malaya na sifa za kijinga kwenye mziki...
Nasikia wakisema Tanzania hakuna ufisadi wakati wako zaidi ya kenya, tatizo kwao media zina controliwa na serekali uwezi tangaza kitu kabla ya kupitiwa na serekali. naona mmesahau
buzwagi
escrow
mishahara hewa
sakata la radar
etc
kenya is the 4th biggest foreign investor in tz msisahau, tukiondoka kwenu they will price to pay. kile mnaleta kenya ni maombaomba, house help and shamba boiz
Write your reply...tz ni taifa la ubabaishaji nilienda kutafuta temporary passport niliitishwa vitu kibao visivyokua na msingi BT kenya unaenda id yako una apply online within minutes ushapata
Write your reply...tz is a chips mayai nation hakuna siku watafikia kenya, hata hiyo sgr yenu ni useless coz ukiangalia biznes btn dar and Moro utaona how long it will take kuleta faida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.