Huna lolote zaidi ya udini Mzee Mwanakijiji,hata mm naomba huo muungano uvunjike kwani Tanganyika haitapoteza chochote na Zanzibar mtajua umeme unauzwa kiasi gani na mgao mtaanza kuufahamu. Na muda si mrefu tutaona nchi ya Unguja na nchi ya Pemba. Nadhani hiyo itakuwa powa theni tutawakimbiza...
Acha uongo wewe,hakuna komando duniani mwenye uwezo huo wa kuruka toka kwenye ndege bila parachute. Ni lazima kutumia parachute ili uweze kutua katika landing point kwali bila hilo utatua kama tofali na utakufa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.