Recent content by kashe

  1. kashe

    JamiiForums Tanzania Zitto awalipua Gazeti la Tanzanite, adai linapata Ruzuku kutoka Ikulu

    Hii ndo Tanzania ya viwanda? Mungu atuepushe na biashara hii chafu madarakani.
  2. kashe

    JamiiForums Tanzania Jordan Kinyera: Asomea uwakili ili kukomboa ardhi ya familia yake Uganda

    Hiyo ndiyo ndoto yenye maana 'Focused'. Vijana wajifunze
  3. kashe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema afungiwa Mikutano 3 ya Bunge

    Hapa Ndugai amethibitisha udhaifu wake na kuonesha namna bunge letu lisivyojitambua.
  4. kashe

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Nyumba ya tembe iliyounganishwa na umeme yazinduliwa na Waziri

    very shocking! Nadhani uwezo wa kufikiri wa wasomi. uangaliwe zaidi tusitengeneze matatizo yanayozuilika
  5. kashe

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya kuwataka Watanzania kujiunga Freemason Serikali inayaona na kuyabariki ama kuna shida?

    Swali nalojiuliza, Je, Freemason ni chama huru chenye usajiri hapa nchini hadi kujitangaza namna hii? Na kama wana usajiri wapo chini ya mwamvuli upi, shirika la kidini/biashara/uganga ama miradi ya maendeleo ya kijamii?
  6. kashe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    hawa wanavua 'dagaa' wengine wanavua 'sato' TANZANIA KWANZA.
  7. kashe

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Zitto Kabwe ana tatizo zito kichwani

    Muro anahitaji psychotherapy
  8. kashe

    JamiiForums Tanzania Waliofukuzwa kazi kwa kughushi vyeti wakifungua kesi watashinda

    ukiwa na kiongozi wa ajabu, tegemea mambo ya ajabu ajabu!
  9. kashe

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Wazungu wana akili zaidi kuliko Makabila mengine Duniani. Sisi wa Mwisho.

    National IQ Scores - Country Rankings National IQ Scores - Country Rankings SOURCE: Richard Lynn, Tatu Vanhanen, Jelte Wicherts. GEOGRAPHICAL NAMES Spanish Simplified Chinese French German Russian Hindi Arabic Portuguese The intelligence scores came from work carried out...
  10. kashe

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro azungumzia kuhusu Kibiti, kutekwa watoto na shambulio la Lissu na ofisi za IMMMA

    Itakuwa balaa kweli, zaidi ya tsunami kumalizia mioyo ya wengi.
  11. kashe

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mungu mponye kwanza Lisu, mengine baadaye.
  12. kashe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yawateua 8 kuwa Wabunge wa Viti Maalum CUF

    Lilisemwa sana kuwa nyuma CUF Lipumba kuna nguvu ya utawala wakakataa. Leo wamejiweka wazi wenyewe. Mungu ilinde TZ yetu.
  13. kashe

    JamiiForums Tanzania DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

    Kwa maneno ya vinywa vyao waliyakataa kwa mioyo na dhamiri zao wanayatenda. Bado tuendelee kuamini kuwa tuhuma dhidi yao ni uongo?
  14. kashe

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya mheshimiwa Lissu ni upotoshaji wa wazi wazi

    Nashangaa hata waliotumwa ati watoe majibu ya serikali hawajamwelewa TL hata hoja kadhaa hawajajaribu kuzigusia maana zimekuwa nzito mno...... Wanatufanya tuendelee kuamini kuwa alichesema jamaa ni kweli. Mfano: Ukanda, ukabila, udini na undugunization...... Matumizi holela ya fedha...... Kesi...
Back
Top Bottom