Recent content by kashakambajile

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM ivunje tu utaratibu. 2025 asimame Kassimu Majaliwa kugombea Urais

    He Ccm mmeanza haya Tena?Hadi mnatafuta dawa ya kurudisha heshima nyumbani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

    Hatuwezi kutoboa kwa kupata Mali za duniani halafu tutazamie maisha mazuri.Lazima tutafute uso wa Mungu mwenye haki halafu hayo mengine yatatutafuta yenyewe
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

    Hatutaki Rais mwenye sifa bali moyo wa kupenda watu na nchi yake.Nyerere aliwapenda watu na nchi yake na laiti angekuwa Rais ktk nchi ya kidemokrasia kama Sasa,wananchi tungefaidi uchumi wetu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ziara za Tundu Lissu mikoani zina Ubunifu wa Uhutubiaji ndio sababu Wananchi humuona kama Nabii

    Kweli umenena lakini pia huyu bwana tumeshindwa kusoma kama ana kashifa zozote;hili nalo linampaisha TL kisiasa hata akipakwa matope
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

    Kwa hiyo na Ccm aliikuta? Tuombe Mungu tu;tumalize siku zetu salama
  6. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Nyerere tunapinga watu kurudisha kadi za CCM

    Wache wazirudishe kwa kuwa Ccm sio mama wao.Kama angekuwa mamao,angewalinda chakula Cha watoto kisiharibiwe na tembo.Tundu mnamwona mwehu lakini ni heri anaonyesha concern juu ya chakula Cha watoto na uhai wao kuliko nyinyi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Upole na ungwana wa watanzania ndo unawafanya serekali ya Ccm kupuuza mahitaji ya haraka ya katiba inayosimamia haki kwa wote.Hata Elimu ya watu wazima haikuwa inachukua mwaka mmoja kujua kusoma na kwandika
  8. K

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

    Huyu mzee ingawa anajulikana chawa wa serkali ya Ccm,lakini Leo kaongea hekima ambayo ni ya kufunga mwaka
  9. K

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

    Huyu mzee ingawa anajulikana chawa wa serkali ya Ccm,lakini Leo kaongea hekima ambayo ni ya kufunga mwaka
  10. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kama mvua zikichelewa kutakuwa na mgawo wa umeme

    Kwani Hilo bwawa la Nyerere halitategemea mvua?Tanesco Haina ubongo wa kulitoa Taifa kutoka aibu ya mgao wa umeme ingawa Mungu alitupa fursa za upepo na makaa ya mawe.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wakimvaa Rais Samia nami nitawavaa

    Hivi kinachomyima usingizi kiongozi ni matusi au madudu yaliyofanywa kwa nchi? Kama hakuyafanya kwa nini yasijiwe kwa lugha Kali kama ya wapinzani? Kwa nini imechukua miezi mitatu bila majibu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Anapewa na mwajiri wake mpya anaporeport Sasa akiwa angani akaelekezwa kwenda kwa mwajiri mwingine ambaye akifika tu atastahili kulipwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko: Tusiruhusu viongozi wa nchi yetu kutwezwa utu wao

    Yohana akamwambia mfalme herode "si vizuri kulala na mke wa ndugu yako" je lugha gani ya heshima angetumia kwa mfalme? Kama maneno wanyotamka viongozi wa siasa ni ya kweli,mnastahili kuwaomba watanzania na sio kuwakemea wanaoanika maovu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotemwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Kama kuna Jimbo ambalo halijatendewa haki kwa nchi nzima ni Jimbo hili la Busokelo kutokana mchango wake kiuchumi.kwa wasilolijua Busokelo ilitoa mchango mkubwa kwa Zao la kahawa tangu uhuru.Baada ya Zao kupotea kwa magonjwa mazao mengine kama chai,parachichi,gas,mbao za stima,viazi, vyote...
Back
Top Bottom