Kwanini Mwigulu Nchemba usijiuzulu tu hiyo nafasi ya uwaziri wa Fedha kwa maslahi mapana ya Taifa.Maana wewe si chochote ni Kama kivuruge Fulani,sioni cha maana unachofanya pale tofauti na upigaji wa Kodi za Watanzania Maskini Wala mlo mmoja.Huna unachojua kuhusu hiyo Wizara tofauti na kubuni...
Wafanyabiashara wa Tanzania ifike mahala mjitambue,hivi huyu RC ndiyo wa kuwatishia hivyo?Mtu mnayemlisha,kumvisha,kumuozesha,kumsomesha na kila kitu anawategemea nyinyi Kodi yenu ndiyo maisha yake halafu anawadhalilisha kiasi haki ya Mama angetoka na ngeo leo huyu jama hajielewi kwa kweli.
Huu ni kutokana na ukweli kwamba,hata hizo Nchi ambazo zimeendelea ni kwasababu tu ya usimamizi bora wa mapato ya ndani ya Nchi.
Tunayo mifano mingi ya kuweza tumia kama rejea.Kwa mfano Nchi ya India ilikuwa chini ya koloni la Uingereza mnamo mwaka wa 1947, India ilipata uhuru wake wa bendera...
Sasa wewe uliyesema niache ujinga wangu hili ndilo tusi Ndugu yangu.Lakini nakuomba Kaka usiwe mpofu wa fikra kwa kufungwa upande mmoja tu.Kwaupande wako Saikolojia yako inafaa ufanyiwe ushauri nasaha,umeishavurugwa.
Inabidi Viongozi wetu watofautishe tuhuma/kashfa na matusi,kwani wazalendo wanapokuwa muuluzia Rais wa Nchi yuko wapi?Mbona haonekani ndani ya mipaka ya Nchi?Wana maana nzuri tu.Hawamtukani bali wanataka wajue kiongozi wao mkuu wa Nchi.
Hapo walipo wanadai katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ifumuliwe/itungwe upya.Wakati katiba yao tu kuifanyia marekebisho imeisha washinda.Sasa kama Mwenyekiti anakaa zaidi ya Miongo miwili Madarakani huyo Siyo Dikteta? Mimi na kuona Mbowe ni dikteta ndani ya CHADEMA.Ama Mbowe alizaliwa...
Hapo walipo wanadai katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ifumuliwe/itungwe upya.Wakati katiba yao tu kuifanyia marekebisho imeisha washinda.Sasa kama Mwenyekiti anakaa zaidi ya Miongo miwili Madarakani huyo Siyo Dikteta? Mimi na kuona Mbowe ni dikteta ndani ya CHADEMA.Ama Mbowe alizaliwa...
Hapo ndipo utajua kama masikini ana haki au hana haki, kitendo cha RPC kutokutoa ushirikiano wa kutosha pamoja na msaidizi wake.Hapa sheria imeanza kupinda tayari,haki kwa wanyonge itakuwa ni ngumu sana kuipata haswa unapo pamba na tabaka tawala.Si ajabu chombo kilichoripotiwa tukio hili pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.