Recent content by kasara

  1. K

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Watashika wengi sana mwaka huu
  2. K

    Hapa Wapi Wajameni

    Hapo ni Tukuyu ukitokea cartex kuibukia stand ya tukuyu
  3. K

    Naomba samahani kwa niaba ya wafanyakazi wa Tanzania!

    Nimemkumbuka kalume kenge gafla baada ya kusoma hapa, ila sijui ni kwanini
  4. K

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Bibafsi nilishaacha kusikili clouds FM na clouds TV na nyumbani kwangu hakuna anaesikiliza
  5. K

    Nani Anaweza Kumrithi Prof. Lipumba?

    Jussa anatosha wakati mtatilo atafaa kwa makamu mkiti
  6. K

    Pamoja na ujio wa Lowassa CHADEMA, Dr. Slaa ni chaguo sahihi kugombea Urais

    Mtoa Mada umekuwa mmbeya na mchonganishi. Mwenyekiti alishaeleza yote bila kumung'unya maneno na wewe upo kwenye kundi la wanaohitaji maombi. Tafadhari, mumuache DR Slaa jembe letu afanye kazi zake za kuyaondoa maccm. Na hamtoki safari hii
  7. K

    GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Utajuaje kama waliompinga au kuunga mkono ni wanachadema na sio wazee wa Lumumba. Mi Ninaunga mkono EL kugombea urais
  8. K

    Mbowe 'awekewa kisu' shingoni na Lowassa

    Ni haki ya Mbowe kufanya hivyo kwani anajua vizuri chama kilikotoka, kilikopitia na pia zitto alidiroki kumtukana mbowe matusi ya nguoni na utu wake wakati Mbowe ndie aliyemfikisha zitto alipo. Nami namuunga mkono kumkazia zitto kama VP lowasa akaungane na zitto kwenye chama cha Asasi ya Chama...
  9. K

    Leo nina hasira!

    Kunywa halipelido mood itakaa poa
  10. K

    Msigwa afunika Iringa Mjini

    Watu wa Iringa mmetufurahisha kwa kumpokea kamanda, hakika mmechagua fungu jema
  11. K

    Lowassa aandaa waraka kumchanachana Kikwete kesho (Julai 20, 2015), kutimkia ng'ambo...

    Kwani wewe ni personal secretary wa lowasa au unakurupuka tu!
  12. K

    Njia pekee kuinusuru UKAWA

    Kwa hiyo unamaanisha cuf washike nafasi ya uraisi Zanzibar na bara so! Huo utakuwa UKAWA au CUF
  13. K

    Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    Kama ni kweli vijana wa kigoma watakuwa hawaaminiki
  14. K

    Utafiti: Uwezo wa watanzania kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana

    Hatuwezi kuwa na Mkuu wa nchi mwenye mihemko
Back
Top Bottom