Recent content by Kasanjo

  1. Kasanjo

    Utalii ndani ya zanzibar..

    Nikufate wap
  2. Kasanjo

    Utalii ndani ya zanzibar..

    Wadaua natumaini mko salama...keshokutwa ntakua nasafari ya zenji ya kiutalii..hivyo wadau wanaojua masuala ya utalii ndani ya zenji ...naombeni tips kuhus zenji....ntakua zenji kwa siku 4..so naombeni tips n advice,...procedures pia za kwenda kuwaona dolphins,activities za kufanya...
  3. Kasanjo

    Strategic betting on imperfect information

    Sio yanga tu...waarab wakiwa kwao wapo vzur sana
  4. Kasanjo

    Strategic betting on imperfect information

    Ila izi opportunities hutokea mara chache sana
  5. Kasanjo

    UCL Final: Tutegemee kuona nini katika fainali ya Madrid Vs Liverpool

    Kuhus marcelo kupanda.. upande uo uo marcelo anaopanda ndo unayule dogo aliekimbizwa na rashford?na uo uo ndo una salah....huu upande huu utakua bampa tu bampa..ila mi ngekua zidane namkabizi casemiro sala apge man to man loki kama ashly yung...salah asiposhine game inaisha mapema
  6. Kasanjo

    Muuzaji wa kindle reader...

    Unauza mkuu?
  7. Kasanjo

    Strategic betting on imperfect information

    Kuna tofauti kubwa kati ya nachokiongelea na iki...mi naongelea odds mispricing n takin advantage of the situation....ww unaongelea accumulator bettings..
  8. Kasanjo

    Strategic betting on imperfect information

    Juzi jumamosi nliangalia kikosi cha yanga kilichoenda algeria...nkaona ni kikos dhaifu sana...nkaskiza na news (sports xtra)...nkasikza na maneno ya kocha wa yanga akisema wanaenda kutafta droo kwa kujilinda...nkafatilia form ya algiers nkaona algiers ni mtam sana akiwa hom so nkatia 500k na...
  9. Kasanjo

    Kuipata simu ilioibiwa..

    Nimeibiwa simu yang (samsung) n nna documents zote imei na risiti za io simu...Kama kuna mtu ashapata simu alioibiwa naomba aniambie alifanyeje ..
  10. Kasanjo

    Natafuta eBook reader (kindle)

    Braza bado una kindle?
  11. Kasanjo

    Muuzaji wa kindle reader...

    Kama kuna mtu anauza kindle reader naomba tutaftane am in nid of 1...
  12. Kasanjo

    Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

    ..Barca inaitaj itumie ile ela ya Neymar imlete coutihno,dembele,seri ikiwezekana na ...Ila lawama zangu ni kwa bodi ya Barca ni ya kipumbav sana...Uyu bartomeu fala bora arud Laporte tu..Usajili waliofanya ni wa kiboya sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kasanjo

    EATV Friday Night Live tumieni lugha ya staha

    Mwache Sam aliamshe dude...coz ni mida ya wakubwa na watoto wameshalala...In joh makiniz voice Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kasanjo

    EATV Friday Night Live tumieni lugha ya staha

    Rais kasema anaangaliaga na anapenda shilawadu....Kwa komenti yako io utashtakiwa kwa uchochezi[emoji28] [emoji28] [emoji28] ...
  15. Kasanjo

    Ukweli mchungu: Tanzania hakuna ma IT..kuna mafundi mchundo tuu

    IT vitini wapo wengi sana.......kibongobongo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom