Sihukumu but viongozi wengi pepo yao ni hapa duniani ni ngumu sana kwenda mbinguni kupumzika....kwahiyo wacha wale wamalize kama inawezekana....wanayoyafanya ni magumu mno kutamkika....!
Wasalaam
Poleni wazee mliotia nia hivi karibuni...
Nafikiri mnakumbuka niliwatahadharisha ila uzoefu mmeupata. CCM ina wenyewe. Tukazane kufanya kazi tutunze familia zetu mambo ya uongozi inji hii tusubiri siku nyingine labda Hali ibadilike.....
Usiku mwema
Niwashauri vijana wenzangu. Kama hela yako ni ungaungamwana tafadhali sana nenda kaongeze mtaji kwenye biashara yako, kawape maskini au kampe mamaako atakuombea na kukukumbuka daima.
Mimi nimeshiriki uchaguzi ngazi za mkoa, jimbo na wilaya nimwanachama hai wa ccm na sina mpango wa kuhama,maana...
Mkiambiwa muwe mnatoa sadaka makanisani, wakali kama Nini...mara wachungaji wezi nk. Kwenye maisha unaweza kukwepa ukweli Kwa kufata mkumbo lkn utalazimika kutoa tuu hata bila kupenda...hiyo ni sadaka ndugu na usipokuwa makini zitaendelea kutoka kupitia kesi Sasa..mfumo wa Dunia ni WA kutoa na...
Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure?
Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa nk. Nafikiri kwa sasa moja ya barabara muhimu sana na za kimkakati kwa uchumi wa nchi ni hii barabara...
Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar.
Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na...
Sishauri Sana akimbilie HQ Dodoma huko anaweza kuishia tu kwa masekretari mapokezi hata ktb Mkuu akamsikia kwenye radio tu. Nashauri yafuatayo: mtafuteni Afisa utumishi mbobezi wa miaka ya kutosha kazini mwenye roho nzuri(wapo japo wachache). Muelezeeni kila kitu halafu pamoja na kushauri cha...
siku maalum nimeacha kusoma gazeti la mwananchi na magazeti mwenza ni ile tarehe 10 nilipoona takataka zinazodeal na wachungaji na MIT u me.......yaani ni hivi ukiona serikali imenyamaza kimya juu ya hili halafu vitaasisi njaa vinatafuta content kama hizo ili Ku survive kwenye soko ni upuuzi...
sijui hata uchaguzi Rwanda wanafanya wa nini. Kagame is supposed to be a lifetime president. Kinachonipa hofu kubwa Rwanda who's next after him. Anaweza tokea mtu wa ajabu wakarudi kulekule kuharibu kila kilichojengeka. Better Kagame amtengeneze mwingine mwenye mlengo Kama wake Rwanda will be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.