Kwa maana ya ndoa ni muunganiko wa hiari baina ya watu wawili MKE na Mme , kuna ndoa aina 2 polygamous & monogamous naenda kwenye mada linapotokea suala la migogolo kwenye ndoa kuna mahakama au board inayotambuliwa na sheria inaitwa reconciliatory board ,
Hii board ni ya usuluhishi...
Pole mkuu utasaidiwa lakini kuna gharama kiasi hapo sio bure kabisa gharama za form ambazo utazipeleka kwa manager wa kampuni, kwa hiyo taasis ya TAHURA Tanzania human right foundation inatoa misaada mbari mbari km hiyo yako. na swala lako ni la CMA na sio high court njoo inbox no ni hii...
Tatizo mnanza siasa hum jf kwani sheria si IPO?? weka clause za kisheria hilo gazeti liko wapi hapa na as tulione ili tuwe na ushahidi, eti Mara ushahidi ulikuwa wikness , halafu MTU atiwe hatiani kwa wikness acheni swaga kwenye sheria ...orbiter dictum#
Apo sheria ya ndoa sec 160 imetaja miaka 2 mkiishi kama MKE na Mme na jamii mnayo ishi nayo itambue nyie ni wanandoa
Na kuhusu kumtelekeza kuna aina mbili actual dissertion & constrictive ambapo mwanandoa anatelekezwa bila yy kujijua km ametelekezwa au mwanandoa kukatazwa /kutishiwa...
Serikali iliyopo madarakani ni halari kwani ilipatikana kihalari tuweni makini na watu wachache wanao taka kuvuluga amani ya nchi hii
Nchi hii ina Mali tele ambazo kipindi ch a mkoloni zilikuwepo ikiwemo madini mbalimbali ambayo ni ya thamani kubwa kwa io kuvuluga amani yetu wao kule...
Usilo lijua bwana, Ubuntu inaongoza kanda ya ziwa kwa kufundisha Nina ushahidi, km hujui unanyamaza usiseme vyuo vya kijinga usifuate ukubwa wa chuo au mob ya watu angaria kile unacho vuna .no ya sim hii hapa 0768 853 050. mwenye nia ya kusoma sheria, na lazima MTU ufanye utafiti make ni...
Presumption of marriage sec 160 of law of marriage act sheria imesema ni miaka 2 inakuwa ndoa na jamii inayo wazunguka itambue kuwa mnaishi km mke& Mme na hio ndoa haina taraka Ila INA mgao WA Mali na maintenance of children and custody km ikivunjika (broken down irreparably) obiter dictum#
Nenda kachukue summons ili mkutane mahakamani km hakuna utekelezaji mahakama iko huru haingiliwi maamuzi yake. ila mahakama inaigiliana yenyewe kwa mahakama nyingine kuna procedure ya kufanya kam kuna ujanja unafanyika hapo mahakamani na utafanikiwa ,( quid pro quo)*
Mkuu kesi yako ilisha hukumiwa inaitwa (probation sentence) ambapo adhabu ni kifungo cha nje kwa matazamio asipo tekereza hukum io analudishwa tena mahakani suara LA kutofika MAHAKAMAN si lako iachie mahakama kimsingi inatakaiwa udai alipe hela yako akishindwa unaomba kukaza hukum na pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.