Recent content by Karungikana

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    Natumaini kakata mawasiliano na yale makampuni ya kihuni.
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    Kupita bila kupingwa kwa wakati ule na sasa ni vitu viwili tofauti! Amir Jamal wa a well read person na alii-manage vizuri sana Wizara ya Fedha, tofauti sana na hawa akina chemba wadesaji!
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kariakoo kuna chemba zinatema maji machafu na kuhatarisha afya za Watu, Viongozi wapo kimya

    Hujasikia ruksa ya"kula kwa urefu wa kamba yako"?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Kiwango cha Umasikini Nchini kimepungua

    Kitila ana-refer kwake na familia yake!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mamlaka za Juu katika matukio ya Utekaji na Upoteaji Watu unaongeza Hofu kwa Wananchi

    Ya Zanzibar yanatuhusu nini? Tunaongela kwetu Tanganyika!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa

    Tengeneza tatizo, halafu kabla mambo hayajaharibika sana, litatue mwenyewe! Wanajitekenya na kucheka wenyewe!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

    Mimi najiuliza tu, je, kama mama angepata transfer, baba angeacha kazi amfuate?
  8. K

    JamiiForums Tanzania NHIF yasema huduma zitaendelea kutolewa Hospitali ya Aga Khan hadi itakapotangazwa tofauti

    NHIF mtatutoa roho huku tukitembea! Kwa nini hamuwadai madeni waliyokopa vigogo woteee, tena wenye pesa nyingi zitokanazo na jasho na kodi zetu! Halafu eti wakiugua wanaenda kutibiwa nje ambapo napo of course wanatumia pesa za jasho na kodi zetu! Uhuni wa hali ya juu!
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    "My country has gone to the dogs!" Mwl Julius Kambarage Nyerere
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Ningekuwa mimi, ningekazana kutafuta vya kwangu! Mwache mzee na mali yake, ambayo naamini hakuipata kutoka kwa baba yake, bali ni nguvu zake mwenyewe! Sielewi kwa nini baba kamtenga mama, au wameachana? Labda msaidieni mama kupata sehemu yake hapo, lakini sadaka aliyotoa baba, whether ni vizuri...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viwanda vya Sigara viweke tozo kwaajili ya kusaidia Bima ya Afya kwa wote ili Wanaougua watibiwe

    Unatengeneza tatizo, afu unalitafutia suluhisho ambayo hata haitasaidia! Tozo ya 5% haitazuia saratani, kansa, kisukari na magonjwa mengi yanayosababishwa na tumbaku! Kwa nini visifunguliwe viwanda vyenye tija, badala ya hivi vyenye madhara?
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sumu kutumika kuwaua kunguru kwa Usumbufu na Uharibifu

    Warudishwe Zanzibar!
Back
Top Bottom