Hilo pia lilikuwa tatizo upande wa ukawa, lakini kwa sasa, tunao wabunge wa wananchi, kelele ziwafikie wabunge wa ccm waache uvyama tunataka katiba ya Warioba.
Swala la katiba mpya ile ya Warioba ukawa kwa idadi yao hawawezi kuileta katiba mpya, tuliwambia tupeni wabunge wakutosha mkarudisha mizigo ileile, hiyo katiba mpya itakujaje wakati ccm wako ki vyao?
Jana umeona kwenye kumchagua naibu spika uliwaona wabunge wa ccm wanampigia kura mpinzani...
Mungu ataifunua dunia na madhambi yake yote October 25, twendeni tukaandike historia mpya ya nchi yetu uonevu na dhuruma vitakwisha kwenye sanduku la kura.
Amani iwe kwenu!
Kwa wale wanaosubiri kuapishwa baada ya uchaguzi October 25 nawaalika mje hapa kwangu nauza ng'ombe wangu kwa bei zuri, kwa mawasiliano zaidi njoo kwenye room yangu nitakupa mawasiliano.
Bila kumuonea zitto nasema kweli yangu hapa Zitto ni mvurugaji wa upinzani Tanzania. Kwa mantiki hiyo huwezi kukubaliana na hoja za zitto wakati unajua malengo yake ni kupunguza kura za ukawa. Huyu Zitto si mpinzani kama anavyojipambanua kwa umma.
Ujanja wake unajulikana wazi, ukiwa...
Madhara yapi?
Je mnamchagua kiongozi kwa sababu ni wa upande wa dini yako? Elimu ya prof. Lipumba inaonesha tofauti kubwa na elimu yako. Go to school man!
Acheni upofu na mahaba yenu ya kichama, ngoja nikupeleke mbali zaidi, wakatoliki walipo amua kumzika Marehemu kept.Komba wakati anamke zaidi ya mmoja walitenda kosa, au walitimiza wajibu wao ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.