Recent content by karonda kibamba

  1. K

    Kenya airways in an agreement with Delta Airlines sasa itaruhusiwa kufly to 19 US cities

    Hahaha shirika la kijinga kabisa siwezi panda hata siku moja aisee huduma mbovu,unecessary cancellation and delays za kutosha mara migomo hahaha
  2. K

    Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

    Hivi si juzi juzi tu nyie wataalam wa kiingereza mlifeli ama waliofanya ule mtihani wa lugha walikua kina nani?
  3. K

    Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Ushamba Mzigo kwa kweli hapa Tanzania tuna hoteli za Gharama kuliko hata Ritz. HAYT REGENCY WANA VYUMBA VYA VIONGOZI KWA VYA USD 10000. nenda. Singita Grumet USD 1500 chumba cha chini,Nenda Gran Melia Arusha vipo hadi Usd 900.
  4. K

    Ikiwa wabunge wanawake waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa mahakamani je wataendelea kuwa wabunge?

    Nimeona maelezo yako lakini kimantiki ya kisheria wakienda mahamamani hadhi ya ya ubunge inabaki kama ilivyo na wataendelea kutambulika kama wanachama wa chadema mpaka hapo mahakama itakavyoamua vinginevyo maana status quo itakuwa maintained kama ilivyo.
  5. K

    Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

    Mzee umeme ukikatika technojia hiyo ya kugundua tatizo lipo wapi sio level za tanesco aisee maana hii inahitaji uwekezaji mkubwa na hapa unazungumzia kilomtres za mfumo wa usambazaji wa umeme sasa kama Dar pekee ina km 36 elfu huo mfumo kwa nchi zima unakuwaje maana hapo ni kwa line za 11kv...
  6. K

    Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

    Hahaha sasa unasema haikusanyi mapato vizuri afu unawadai ZANZIBAR,UNAWADAI JWTZ,UNAWADAI HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI NA HOSPITAL ZOTE,UNADAI MAHAKAMA,UNADAI WIZARA ZOTE,UNADAI TAASISI ZOTE ZA MAJI,UNADAI MAGEREZA NA POLISI. sasa unashauri wakakate umeme ili walipwe mapato my dear the moment...
  7. K

    Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

    Ongezea kuwa Gharama ya mita kutoka kwa supplier wa TANESCO ni Tshs. 168,000/=, waya mita Moja ni elfu 23 ukipiga kuunganisha umeme kwa mtu asie na nguzo ni Tshs. 290,000/= leo hii unaunganisha umeme kwa Tshs. 27,000/= tena kwa Mtu anayetaka kukaa kwenye Tarrif D1 ili anunue unit Moja kwa...
  8. K

    Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA

    Blaza ukinipa ushahidi wa Freeman kusoma UDSM nakunya kuanzia ubungo mpaka mwenye
  9. K

    TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Hapa TLS wamepuyanga Katiba ipo kimya kuhusu linapotokea janga la kifo Kwa rais aliye madarakani basi makamu akichukua wadhifa wa urais anahitajika kuunda Baraza jipya la mawaziri. Hakuna kifungu chochote cha Katiba kinachozungumzia suala hilo.
  10. K

    Redio ya Homeboyz yawasimamisha watangazaji wake baada ya kukashifu wanawake

    Brother nadhani unaongelea kipindi ambacho maadili yetu ya kikabila za kiafrika ambayo mafunzo yake Kwa kiasi kikubwa yanafanana na wanawake wa kipindi hicho ulipaswa kuwa striker kweli kweli sasa hawa wa sasa ni wazungu unatongoza Leo anakuja geto Leo Leo heshima hiyo wataitoa wapi. Siku hizi...
  11. K

    Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Kwa hiyo unataka kutuaminisha ni Corona? Acha ufala wewe Mzee anatatizo la moyo tangu muda soma gazeti la chuo kipindi hicho Acha Akili za Fala lisu
  12. K

    Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki Kenya watoa tamko la kupinga chanjo ya corona

    Malizia kaka "unnecessary making the motivation suspect"
  13. K

    Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

    Nashukuru nimeishi Ujerumani, Denmark, USA, UK, BELGIUM, SWEDEN na NORWAY kwa nilipofika mimi basi za BRT zipo kwenye nchi zote hizo brother Labda wewe haujatembelea maeneo hayo.
  14. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Hahah kumbe umekariri ile miaka 3 sasa hivi utaratibu wa kupanda daraja unategemea perfomance ndugu sio kila baada ya miaka 3 mwenye perfomance nzuri ndio anapanda...kuna mfumo unaitwa OPRAS...sasa wewe tulia usubiri miaka...ova
Back
Top Bottom