Recent content by karma

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna naweza fanya niweze kuomba ajira serikalini ikiwa majina ya nida yametofautiana na vyeti vya kitaaluma

    kwenye interview utakua unaenda nayo hiyo deed pool. Ni neccessary document kwa watu wenye cases za majin kama hivyo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna naweza fanya niweze kuomba ajira serikalini ikiwa majina ya nida yametofautiana na vyeti vya kitaaluma

    Ndio unawezaka.Nenda kwa wakili akuandikie deed poll
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks wakati wa kufanya biometrics kwaajili ya passport na mengine yahusianayo?

    Kama mzazi hana cheti utapeleka Affidavit ya huyo mzazi itakayoonesha majina yake kamili,mwaka aliozalliwa,mkoa alipozaliwa, wilaya na kijijj au kata alipozaliwa.Mimi nilifanya hivi na ndio utaratibu niliopewa uhamiaji wakati wa maombi ya passport yangu.. Kuhusu dreadloocks sifahamu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania App ya kutangaza kazi na kutoa huduma

    Good
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Habari zenu wakuu. Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake. Written interview...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Anza mwaka kwa kufanya makadirio ya kodi kwa wakati: Fanya makadirio ya kodi ya mapato mapema na epuka adhabu

    Mkuu hapo kipengele cha 6, ikiwa nimesajili biashara miezi 3 illiyopita lakinj bado haijaanza, je hiyo Nil estimatted return mwezi gani? Biashara imesajiliiwa october 2024
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

    Pesa haina mbadala wala elimu haina mbadala, hivyo kila kitu kinasimama katika nafasi yake.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta warehouse Kariakoo na maeneo jirani

    Shukrani sana mkuu.Nitalifanyia kazi hili
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta warehouse Kariakoo na maeneo jirani

    Hapa ni stoo mkuu.
Back
Top Bottom