Recent content by karma alvin

  1. K

    kazi

    anatakiwa Dada wa salon anayejua kusuka mitindo yote kwa maelezo zaidi PM
  2. K

    Harufu ya utapeli

    mail yenyewe ndo hiyo hapo
  3. K

    Harufu ya utapeli

    Legal Assistance to Widows and Orphans Advocacy Project On behalf of Legal Assistance to widows and orphans, I humbly appreciate your intent to work in our upcoming project in Tanzania as widows and orphans Advocacy Officers. I hereby inform you that you have successfully passed our first...
  4. K

    Harufu ya utapeli

    jamani hivi huyu Anthony msigwa ni nani? maana niliomba kazi ya widow and orphan advocacy nimetumiwa mail Leo nimepewa maelekezo mengi lakini pia nimeambiwa nitume pesa elfu hamsini na moja na mia tano kwenye number ya airtel anayotumia huyo Anthony msigwa sasa Nina mashaka kama kuna MTU...
  5. K

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    huyo anayejiita Mr. Vicent hata Mimi kashanitumia sms akaniambia yupo kwenye panel nimtumie elfu 45 eti anipe majibu ya interview alafu nikianza kazi nimpe laki tatu kutoka kwenye mshahara wangu hata cjamjibu
  6. K

    Rafiki wa kiume

    kwani mi hunitaki?
  7. K

    Rafiki wa kiume

    why usitafute wako
  8. K

    Rafiki wa kiume

    anaeishi Zanzibar sio lazima awe mzanzibar
  9. K

    Rafiki wa kiume

    Habari zenu humu ndani, Natafuta rafiki wa kiume wa anaeishi Zanzibar kama upo tayari ni pm kwa mawasiliano zaidi.
  10. K

    Interview Manispaa ya Ilala

    gazeti la mtanzania
  11. K

    Interview Manispaa ya Ilala

    kila la kheri kwa waliobahatika
  12. K

    Call for interview Erolink

    kuna uwezekano wa kutuma cv erolink kupitia e mail? maana wengine wapo mikoani
  13. K

    Call for interview Erolink

    kupeleka cv erolink ni lazima uwe umesomea customer care tu au hata mtu wa course yoyote anaweza kwenda?
  14. K

    Naota nimeolewa na mtoto mdogo

    Habari wa jamii, Mimi kuna ndoto inanisumbua imekuwa ikijirudia na nikama kamuendelezo fulani hivi: Naota nimeolewa na mtoto mdogo kabisa au mara nyingine naota nipo kwenye mahaba na mtoto mdogo.Sasa sijui hii ndoto inaashiria nini maana nimeshindwa kuielewa. Naomba tafadhali anaejua...
  15. K

    Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

    hata mimi zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa nikijiuliza hilo swali lakini sikuwahi kupata jibu. mbaka nikajiuliza kwanini nimezaliwa, kwanini asingezaliwa mtu mwingine badala yangu.
Back
Top Bottom