Safari za Ubungo nhc to kariakoo via makanya street tandale tumezifanya.sana kwenda na kurudi ukiacha zile za Ubungo to Muhimbili
Via morogoro road
Kali kuliko zote ni ile ya mwaka majuzi nipo kibada kigamboni nasubiri daladala za kongowe niunganishe mpaka rangi tatu kukuta daraja
La mto mzinga...
Sio
Sio kupewa ujauzito tu bali amekwishazaa na huyo jamaa na waliokuwa wakiishi pamoja Sasa sijui alikuwa na miaka kumi na tano wakati huo.
Kwa kweli tatizo ni kubwa Sana na hakuna anayejali
Uwe na heshima bhasi hata kwa wasiokuhusu
Huo ni udhalilishaji wa kijinsia kumbuka hata wewe pia umezaliwa na mwanamke
Usisahau ulipotoka ukakejeli na kutweza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.