Recent content by Karim Boimanda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji laptops na desktops flat screen brand new na used

    naomba bei ya desktop tafadhali!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Projector sony inauzwa

    nadhani ni vizuri kuweka bei ili kuepuka usumbufu!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali: Uza luku, vocha za modem, airtime na startimes kwa NOKIA C2 ya TShs. 145,000 tu.

    Hii 145,000/= ni pamoja na start up bundle au vipi!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ujasiriamali

    Sijakusoma fresh Husninyo,unaweza kunielekeza zaidi please!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ujasiriamali

    Mambo vipi wanajamii! Hivi ni wapi mtu unaweza kupata mafunzo ya ujasiriamali hasa juu ya utengenezaji na ufungaji wa bidhaa ndogondogo?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa haraka

    Kutoka MOMBASA had MAJOHE ni mwendo wa dk 20 had nusu saa hivi. Kuhusu suala la eneo hilo kupitishwa bomba la SONGAS sijapewa taarifa yoyote,ninachojua ni kwamba tetesi hizo zinahusisha eneo lililo mbali na hapo.Kiwanja kipo jirani na eneo lililotengwa na serikali kwa ajili ya makaz ya watu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa haraka

    Majohe ipo wilaya Ilala-Dsm Ili ufike kilipo kiwanja utaanzia safar yako pale Ukonga Mombasa,kama unatumia daladala kuna magari pale yanakwenda KWA MKOLEMBA,ukipanda hayo unafka moja kwa moja,kama una usafiri binafsi utafuata njia inayokwenda KWA DIWANI.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa haraka

    Kiwanja chenye ukubwa wa mita 30 kwa 50 kinauzwa haraka,kipo maeneo ya Majohe,bei ni 3.5mil. Wasiliana na mmiliki kwa simu namba 0715334456,0767334467 au 0788334467
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yeyote anaeuza tikiti zikiwa shamba tuwasiliane, nnanunua tikiti kuanzia 500

    sorry wadau,moro ni maeneo gani yanafaa kwa kilimo cha matikiti maji,nataka nianze fasta nimuuzie jamaa kuanzia mwez wa 6
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    ubarikiwe sana ndugu yangu,naweza kupata mawasiliano yako?(simu au email),nitumie kwenye 0715334456 au kboimanda@yahoo.com
Back
Top Bottom