Recent content by karigogo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza miche ya miti ya matunda na mbao

    asante kwa taarifa nzuri nitakutafuta
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemkuta na SMS za kimapenzi za mwanaune mwingine

    usikilizie moyo wako
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wenzangu wananiita dogo na wengine kiumri nimewazidi?

    waulize wanaokuita watakupa jibu, na acha mambo ya kitoto
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maswali matatu ambayo atheist wanashindwa kuyajibu kwa usahihi

    mkuu sisi binadamu tunaweza kujua idadi ya mbegu za chungwa zilizomo ndani ya chungwa lakini hatuwezi kujua idadi ya mbegu hizo zilizomo ndani ya mbegu ya chungwa. maswali mengine tunajichosha bure.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maswali matatu ambayo atheist wanashindwa kuyajibu kwa usahihi

    mkuu, sote tulizaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kuwa wajinga na wapimbavu.
Back
Top Bottom