Recent content by Karibuni

  1. K

    Pr. Muhongo bado wewe.

    Baada ya Dk, Mwakyembe kufukuza watumishi wa bandari waliokuwa wanaleta hujuma kwa taifa letu sasa imebaki zamu ya Pr, Muhongo waziri wa Nishati na madini kwani kati ya wizara zenye madudu mengi ni hii. Hususani katika chuo cha madini ndio chuo pekee Africa Mashariki chenye waalimu wengi wasio...
  2. K

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

    Wewe ndio muhuni kwani hujui ukweli, hawa vijana hawana shida tena wengine wako vizuri kuliko waalimu wao, Wewe ni kibaraka tu au hujui bifu waliowekewa hao vijana ni kuhusu nini funguka..............................
  3. K

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

    Ku tokana na matatizo yaliyojitokeza katika chuo cha madini napenda kuwataarifu kuwa vijana hawa pamoja na kuwa na moyo wa uvumilivu na busara machozi yao yalikua yanaonyesha dalili za kukauka kama sio kuisha yamebadilika na kua machozi ya damu. Hali hii inatokea pale majibu yanayotolewa na...
  4. K

    Madini kunani mbona shida kila mwaka?

    Wanafunzi wapatao 154 wa chuo cha Madini jumatatu tarehe 07/01/2013 waligoma kufanya mitihani ya Supplementary baada ya wenzao 55 kusemekana kwamba wali Disco katika mitihani yao. Hatua hii ilifikiwa ikiwa inaonekana kuwa historia ya chuo hicho tangu kuanzishwa kwake...
Back
Top Bottom