Recent content by karanisi

  1. K

    JamiiForums Tanzania TOVUTI BORA YA KUPATA HABARIZA MICHEZO

    tembelea www.shutikali.co.tz bonge la platform kwa michezo
  2. K

    JamiiForums Tanzania TOVUTI BORA YA KUPATA HABARIZA MICHEZO

    Shutikali - Tovuti ya Habari na Taarifa za Michezo Tanzania ni tovuti inayoleta mageuzi kwenye kutoa taarifa za michezo,wanamichezo pamoja na timu zao,shutikali ina team ambayo imebobea kwenye kutoa taarifa za michezo. wafuatilie shutikali kwenye mitandao ya kijamiii facebook: Shutikali twitter...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas amezungumzia juu ya maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Lesotho utakaochezwa Jumamosi hii. Lucas amefafanua kuhusu kuwasili kwa wachezaji wa Lesotho wanaoingia jioni ya leo Alhamisi, pamoja na wachezaji wa Stars ambao...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Dakika ya 15: Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anawalalamikia wenzake kutokana na kufanya makosa. BONYEZA LINK YA BLUE KUFUATILIA MTANANGE HUU: YANGA 0-0 TUSKER ‘LIVE’ KIPINDI CHA KWANZA, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mrisho Ngasa na Haruna Chanongo wamesaini Yanga?

    Michuano ya SportPesa Super Cup inatarajiwa kuanza Jumatatu ya Juni 4, kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa michezo miwili kuchezwa, Yanga inatarajiwa kuwa na wachezaji watatu wapya
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashuka viwango vya FIFA, Brazil yaendelea kutamba kileleni

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoka viwango vipya vya ubora wa soka duniani ambapo Tanzania imeshuka kwa nafasi nne. Katika orodha hiyo ya viwango iliyotolewa leo Juni mosi, Tanzania sasa inashika nafasi ya 139, wakati nchi nyingi za Afrika Mashabiki, Kenya inashika nafai ya 74...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuchemka katika Premier League, Manchester United yaifunika Real Madrid kwa utajiri

    Licha ya kushika nafasi ya sita katika Premier League msimu wa 2016/17, Manchester United imetajwa kuwa ndiyo klabu yenye thamani kubwa zaidi Ulaya ikiifunika Real Madrid. Utafiti uliofanywa na taasisi ya KPMG imeonyesha kuwa Man United imekuwa na mafanikio makubwa kifedha zaidi ya Real Madrid...
Back
Top Bottom