Katika hatua ya kusimamia Haki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi za watu nchini, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeiamuru Kampuni ya MI CASA kumlipa Wakili Abdul Naumanga Milioni 20 kama fidia kwa kutumia picha na ‘video’ zake katika akaunti yao ya mtandao wa kijamii wa Instagram...
Nadhani swala la mizania limekua ni la kufikirika kwenye tasnia ya habari hasa pale ambapo vyombo vya habari vinafanya biashara, katika uchaguzi wao ni kama peak time. Kama msimu wa Utalii unavyokuaga. Sasa wao wanaona huu ni muda wa kupiga hela zaidi. Lakini pia mizania inakua ya kufikirika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.