Mmmh ila kaeni mkijua kuwa kuna Freemasons na Freemen,,ukiwa Freemason ni mjenzi huru kwa misingi ya kubomoa na utawala wa giza,na kama wewe ni freeman basi ni kwa misingi ya kuwa katika mwangaza na uhai usio na kikomo
Sikia nikuambie kitu hapo hakuna haja ya kufikiria saaana,,ni hivi mpaka anatembea na baba yake mdogo na mpaka anakujibu utumbo namna hiyo ujue huyo sio mke tena huyo ni kahaba msomi,,cha msingi wewe achana nae na maisha yaendelee utaumia kwa muda tu alafu utakuja kumsahau ishi maisha yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.