Recent content by Karanga Mwitu

  1. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    Njia pekee ya kupunguza uzito ni kupunguza kula (Food Intake), au kula kulingana na kazi unazofanya. Kama ulikua unafukia maugali, mawali na machips bila kushughulisha mwili. Punguza na anza kula vyakula vyepesi. Pia punguza vinywaji vikali au baridi. Au jiwekee utaratibu wa kufunga mara kadhaa...
  2. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Kupunguza uzito kwa dawa

    Ushauri wangu; usitumie njia za mkato za kupunguza unene kwani zitakuletea matatizo. bali zingatia ratiba ya mlo kwa kufunga au kupunguza kiwango Cha chakula unachokula; Hali Ipo hivi; Mtu anaponenepa Ina maana mafuta yamezidi mwilini, yanayotokana na kiasi Cha wanga kilichozidi mwilini ambacho...
  3. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

    Nakubaliana na wewe mkuu, huo ndio uhalisia wao. Sisi waafrika; Siri ya mali anaijua baba pekee au mama. Wenzetu wahindi na waarabu; Siri ya mali hujukikana kwa wanafamilia wote, ndio maana hawafirisiki.
  4. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ukoo wangu kama Kuna laana ya ufukara na umaskini uliokithiri

    Duh,..hii comment nimecheka Sana...Ila bana maisha hayana kanuni..unayemuona ana unafuu Kumbe ana Hali mbaya kuliko wewe.
  5. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Sijutii kusoma ingawa sijapata ajira

    Ushauri mzuri Sana kwa jamaa....Ni kweli usimuache huyo mwanamke...mpende, muheshimu. Ukiona Mambo yanakwenda vizuri ujue nyota zenu zinaendana. Kuna wanawake wengine ukiwa nao Mambo hayaendi, ukiona hivyo ujue nyota zenu haziendani.
  6. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Bei ya Vanilla yaporomoka kwa kasi Mkoani Kagera, sasa kilo ni Tsh. 3,000

    Jamani, Mimi kwa uelewa wangu mdogo bei ya bidhaa husika inategemea mahitaji (demand) na Uzalishaji au usambazaji wake (Supply). Kadri aina fulani ya bidhaa inavyozidi kua nyingi ndivyo bei hiyo ya bidhaa inavyozidi kushuka na vilevile bidhaa hiyo inavyozidi kuadimika sokoni ndivyo jinsi inavyo...
  7. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima azungumza kuhusu mapenzi ya jinsia moja

    Duh pole sana, kwa Sasa imefikia steji ya Sodoma na Gomora. Cha msingi tupige magoti tumuombe mungu, ili dhambi hii isiendelee kutawala kwa watoto wetu. Pia watoto wetu tuwe nao wakati wote tuepuke Sana kuwapeleka watoto wadogo kwenye shule za boarding na hizi day care, ndo wanaharibiwa huko...
  8. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Habarini wan JF, Hakika tekinolojia imekuwa sana. Huu mfumo wa akili bandia (Artifial intelligence) uliotengenezwa na Microsoft (Chat GPT) uko very clear. Nimekuwa nikiutumia Mara nyingi Sana. Sasa leo nikajaribu kuuliza iniandikie nyimbo kuhusiana na Rais wetu mpendwa Marehemu John Pombe...
  9. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Pambana Sana, Fanya Kazi sana Lakini Usishau kuroga Lasivyo Utaishia kuishi kawaida

    Safi Sana, umenena vyema mkuu!.👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏽🙏🏽
  10. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Smartphone yangu haiunganishi wireless internet kwenye kompyuta yangu

    N Nimerestart bado tatizo lipo
  11. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Smartphone yangu haiunganishi wireless internet kwenye kompyuta yangu

    Driver ya wireless kwenye compyuta iko vizuri
  12. Karanga Mwitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Smartphone yangu haiunganishi wireless internet kwenye kompyuta yangu

    Asante, natumia infinix hot8
Back
Top Bottom