Recent content by karanga mbichi

  1. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

    We jamaa muongo sana 😂😂
  2. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo ulioimbwa na bob Ludala,(asante kwa kunizalia mtoto) Pia wimbo wa tarsis masela ft dada mmoja sijui kurjan jina kama sijakosea
  3. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Duh mkuu umetumia tafsida ngumu kwa wengi
  4. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    💪💪💪💪hahaha true
  5. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Moja ya watu wanaofikirisha sana akili kila unaposoma au kutazama katuni zake ni huyu mr Kipanya!!huyu jamaa ana iq ya hali ya juu sana.na jambo la kufurahisha katuni zake nyingi ni katika kutoa dira ya tulikotoka,tulipo na tunakoelekea kama taifa....hongera sana KIPANYA
  6. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania kwa mwenye ile clip ya mh Rais akitaja namba zake za simu tafadhali akiweke hapa.

    Ndio mkuu nipe namba pia si mbaya
  7. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania kwa mwenye ile clip ya mh Rais akitaja namba zake za simu tafadhali akiweke hapa.

    Jana nikifatilia mkutano wa rais na wafanyabiashara nilipitwa na sehemu ya hotuba/maagizo ya mh rais magufuli kwa mama samiah mpaka alipotaja namba zake za simu..
  8. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Guide alieko seronera airport awasiliane na mimi haraka

    Hiyo voda pia not reachable
  9. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    Hivi yule jamaa wa majengo ya chini Tasha huwa anasubaru ya Blue amepona?
  10. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Guide alieko seronera airport awasiliane na mimi haraka

    Hahahaha dah we jamaa,,,asante kwa neno lako pia
  11. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Guide alieko seronera airport awasiliane na mimi haraka

    Hapatikani huyu mkupaya
  12. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Guide alieko seronera airport awasiliane na mimi haraka

    kwa yeyote ambae yupo serengeti seronera muda huu au anajamaa yupo serengeti anijuze nimpe wqgeni watatu sasa hivi..0787803577
  13. karanga mbichi

    JamiiForums Tanzania Nini dawa au unachoweza kufanya mpaka mdaiwa wako sugu akulipe?

    Kununua papuchi kwa laki tano mkuu huo ni uhujumu uchumi
Back
Top Bottom