Kwanini Viongozi hudanganya?
Miaka michache iliyopita nilisoma kitabu kimoja kiitwacho WHY LEADERS LIE. Mwandishi wa kitabu hicho anaitwa John Mearsheimer. Anasema maRais husema uwongo kwa sababu huona ni jambo zuri kwa wananchi wao.
Hata hivyo huwezi kudanganya watu wote kwa muda wote...
Serikali ya Chama cha Mapinduzi chini ya Rais John Pombe Magufuli inaimba ndoto ya Ujenzi wa Viwanda nchini. Hilo ni jambo jema kwa nchi yetu inayopambana ili iendelee kiuchumi na kuondoa umasikini.
Viwanda ni sehemu muhimu ya Ujenzi wa uchumi imara katika ulimwengu huu wa leo. Kwa hivyo...
Wananchi WA Kigoma ujiji tunafurahia sana kazi zinazofanywa Na Halmashauri yetu Na Mbunge wetu.
Barabara hii itamaliza changamoto iliyokuwa inawapata wakazi WA mwanga
Tunafahamu kuwa tayari bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 tayari imepitishwa na ipo katika hatua ya utekelezaji.
ACT Wazalendo kama chama cha siasa tunaowajibu wa msingi kuuelimisha umma wa watanzania kufahamu vizuri kuhusu bajeti na pia kuendelea kuishauri na kuikosoa Serikali...
Chama hakijawahi kupokea pesa kutoka kwa Kikwete
Jiulize mbona pamoja na kunena mabaya kuhusu ACT asemi anatoka uanachama na chama hakitamfukuza daima yeye aendelee na kazi ya waliomtuma
Kwa kukusaidia tu waliomtuma wanaugomvi wao na Kikwete
Kama umeisoma NA kuielewa Alichoandika Mchange huo ilikuwa wakati WA ziara ya kukitangaza chama March.
Wakati WA kampeni Mchange pia alikuwa mgombea kibaha na hakuna alipokutana na Kaijage ambaye alikuwa kasulu
Wakati wote wa kampeni Sele alikuwa Moro na Kaijage kasulu hawakuwahi kukutana Kwenye kampeni.
Kaijage alikuwa katibu mwenezi WA jimbo la kasulu tangu mwaka 2015 mwanzoni Baada ya uchaguzi WA ndani WA chama
Hatimaye kwa majonzi na huzuni kubwa jioni ya leo 19/11/2016 tumekupumzisha kwenye nyumba yako ya milele ndugu yetu, mpiganaji na mzalendo Joshua Kaijage Kilembwe.
Tangu tulipopokea taarifa ya kifo chako sote tuliokufahamu tumekuwa katika hali ya majonzi na huzuni kubwa. Wengi wamekulilia na...
Mwalimu ametutoka Ni pigo kubwa sana kwetu Ndugu,marafiki na wanachama WA ACT-wazalendo.
Mwalimu alipata infection Kwenye ini,
Madaktari,Ndugu,jamaa na marafiki wamepambana kwa kadiri ya uwezo Ila Mungu amempenda zaidi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
ORDERED TO PAY $148M: Washington-based tribunal rules in favour of Standard Chartered Bank, saying dubious payments from the Tegeta escrow account do not discharge TANESCO's obligations to the bank
TANESCO ordered to pay
$148m over IPTL dispute
Washington-based tribunal rules in favour of...
Siasa za maendeleo zinazogusa Maisha ya watu siasa kwa vitendo
Kutoka mezani kwa Zitto Kabwe
Skimu ya Hifadhi ya Jamii Kwa wananchi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Manispaa pekee inayoongozwa na Chama cha ACT -Wazalendo kuanza rasmi 1/10/2016 kufuatia kupata Baraka za Serikali Kuu (TAMISEMI)...
Kwa Kuwa niliahidi nitapigania Demokrasia ndani na nje ya chama changu,
Kwa kuwa kumekuwa na matukio kadhaa ya kuvunja katiba ya nchi,
Kwa kuwa naunga mkono operation Linda Demokrasia na kupinga udikteta nchini,
Kwa Kuwa maandamano ni haki ya kikatiba,
Kwa kuwa dola imedhamiria kuwanyima haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.