Recent content by kara11

  1. K

    Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

    kupewa misaada na waoman kwani kunatatizo gani? na sifikirii kama kuna mzenji hata mmoja atakae kukumbukeni kwa jema isipokua kwa ujambazi na kutuzalilisha.
  2. K

    Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Hio ni ndoto, wazanzibari karibu 90% hawautaki muungano naitapotokea kupigiwa kura ya maoni mutaona.
  3. K

    Mashehe wa Bara Ongozeni harakati za kuupinga Muungano; Tanganyika isiidhulumu Zanzibar

    Tuna Zenji yetu? sifikiri kama tunayo,maana tungekua nayo tusingali ruhusu makanisa 200 kujengwa kwa kipindi cha miaka 10 kama ilivyo sasa, nahiyo Tanganyika yako inayokuuma tutakurejeshe wakati muafa ukifika,and soon.
  4. K

    Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

    , Sisi ndio hatukupendeni nyinyi,tunataka kama leo mvunje huo muungano maana nyinyi ndio mloshika mpini sisi tuna makali,hebu vunjeni muone kama tutakupapatikieni sisi.majambazi
  5. K

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Mtanganyika tuomberazi, vikundi vya kihuni munavyo nyinyi huko {mafisadi},na hicho kikundi cha muamsho kimetumwa na sisi Wananzibari tulio wengi tusiopenda muungano unaokufaidisheni nyinyi.
  6. K

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Tuna jua mzee,halafu watanganyika munasema nyinyi ndio mnao beba zanzibar
Back
Top Bottom