jamani ndg zangu watanzania acheni kufatilia na kuunga mkono mambo ya vyama,mda huu tuimarishe katiba yetu,kikubwa serikali mbili ndio mafanikio yako wewe mtanzania,kuwa makini hasa uchangiaji wa katiba na sio uchangie mambo ya vyama,kumbuka pia mda huu ni wakati wakutengeneza katiba na wala...